...Bak, by the time mwanaume huyo anagundua 'anapendewa pochi,' mwanamke wa aina hiyo anakuwa keshambwaga, mwanaume anapukutisha vumbi tu mifukoni.
Ndugu yangu,
Umesema la maana kabisa.Hakuna apendaye tabia mbaya.Awe mwanamke au mwanamme, tabia ndio itakayowezesha watu kukaa pamoja iwe inanyesha au jua linawaka.Tabia mbaya ni kero na hupelekea migogoro katika mahusiano.Kuna vijitabia vidogovidogo vinavyoweza kuvumilika ila kuna tabia nyingine hazivumiiki kamwe.
Kuna waliosema kuwa uzuri wa mwanaume ni kummudu mwanamke- sasa kummudu huko kama hakutaenda na tabia njema sijui itakuwaje.Sura nayo isipoendana na tabia njema, itafikia siku itachusha au kukinaisha sijui itakuwaje.Wengine hufikiri uwezo wa kifedha na mambo kama hayo.Siku fedha itakapokwisha na huku tabia ni mbaya sijui itakuwaje!

kila nikisoma swali naona mleta hoja anaulizia "uzuri wa mume" lakini majibu lukuki yanaelezea uzuri wa mwanaume!
wikiendi njema
Labda kama kalishwa limbwata, vinginevyo ni rahisi sana kumgundua mwanamke anayekupenda kwa ajili ya pochi lako nono. Huyu ni mwizi tu anaweza hata kuuza mwili wake ndani ya ndoa kutokana na tamaa aliyokuwa nayo na kukutia aibu.
kila nikisoma swali naona mleta hoja anaulizia "uzuri wa mume" lakini majibu lukuki yanaelezea uzuri wa mwanaume!
wikiendi njema
i salute you!
Kama mume ni kichwa cha familia, hana budi kuweka familia mbele kabla a matakwa yake. Mwanaume wa namna hii atafanikiwa sana.
This is very very true
Hata mwanaume mwenyewe akijijua kuwa kameet mambo hayo hapo juu,anajua kabisa kuwa hamkosi mwanamke.
Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini.Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.
Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.
Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.
Nawasilisha.
Uzuri wa mume ni mapenzi
uzuri wa Mume pesa tuHuwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini.Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.
Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.
Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.
Nawasilisha.
Mwanaume akiwa hivi mbona ndoa inakua tamuKuna jamaa alitoa sifa hizi hapa hapa JF; mume shurti awe 1) hodari wa mapenzi (kujamiiana), 2) awe na pesa na amwachie mkewe apange namna ya kuzitumia na 3) awe mtu wa kumsikiliza mkewe.