MAISHA: Uzuri wa mke ni tabia. Je, uzuri wa mume ni nini?

Uzuri wa mwanaume sio sura ....mwanaume anatakiwa kujiamini dem ajiskie ana ulinzi, mwanaume inabidi atimize majukumu na mahitaji ya nyumani hapo ni kujali, mwanaume inabidi ajijengee mazoea ya kutatua matatizo pindi yanapotokea hii huwa inampa sana moyo mwanamke kwamba everything will be okay,, mwanaume asiwe na tabia za kivulana, mwanaume inabidi apendwe na watoto wake automatically mwanamke aliyemzalia atampenda,,,, yaani in short mwanamke anavutiwa na mwanaume sio hawa wa kiume ambao kutwa nzima wanabeti, kuchat kwenye magroup, kutojishughulisha na kadharika
 
Kwakweli nimeolewa per my experience
- peSa
- awe na heshima na kukuthamini
- awike vizuri
 
Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume. Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa. Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume. Nawasilisha.

Kama atakuwa na HEKIMA, HESHIMA, BUSARA na KUWAJIBIKA KAMA MUME basi yatosha sana..
 
Uzuri wa mwanaume ni kupambana na kutafuta pesa pia kujali familia yako! Kuwa responsible father and husband!
 
Mboo Mpenza
Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.

Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.

Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.

Nawasilisha.[/QUOTE
 
Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.

Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.

Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.

Nawasilisha.
Sifa ya mwanaume ni kumkojoza!!
 
Mke uliye naye ulimpata baada ya kuwashinda dau wengine waliye kuwa naye kabla yako. Hapo unategemea nini?

Nishaona watu wakinyang'anyana demu kwa mbinde.
Leo demu analala huku kesho analal kule sasa ukisha mpata unadhani huyo atatulia?

Sasa hata wewe mdada unaye changanya wanaume kama mseto wa mahindi na maharage wazo lako kuu ni nini?

Ung'ang'anizi katika hatua za kuchumbia ndo kosa la awali lipelekealo watu kuanzisha Songombinde ndani ya ndoa zao.

Kaka u made my day, yani nakumbuka miaka ya 1980, wakati huo UKIMWI haupo mitaa mingi. Watu walivyokigombania mwanamke mmoja. Halaf cha ajabu huyu Mwanamke analala na wote. Leo Mara na huyu, Kesho yule, kesho kutwa na huyu.
Halafu mwishowe anaolewa na wa Jana. Sasaa Cheki jamaa wa Leo na Wajuz wanavyohaha, baada ya Jamaa wa Jana kummiliki kwavile aliwashinda DAU.
 
Back
Top Bottom