MAISHA: Uzuri wa mke ni tabia. Je, uzuri wa mume ni nini?

Mwanaume, waume wa wake zetu, ni kama sisi. Tunaojua uzuri wa mke kuwa ni tabia. Tabia hapa ina maana ni pamoja na kumuelewa mmeo kwa namna zote.

Kila mwanamme yuko tofauti, ndiyo maana hakuna kitu kama uzuri wa mme ni kitu fulani...! Mwanamke ni DEPENDENT parameters na mwanamme ni FACTOR (deciding).

Kwa hiyo acha maneno yako kabisa ya uzuri wa mwanamme!

Kula tano;
Tunategemeana, ila hapo kwenye red / bold inabidi wanawake wabadilike.
 
Uzuri wa mwanaume Mkwanja........

Kosa pesa ujue tabia ya Mkeo
Unawezakosa pesa na bado mwanamke akakuelewa na asifanye udobefu wa aina yoyote. Ikitokea ukakosa hela na mwanamke akakengeuka ujue ndo tabia yake hiyo - alikuwa anaficha makucha yake tu.
 
Unawezakosa pesa na bado mwanamke akakuelewa na asifanye udobefu wa aina yoyote. Ikitokea ukakosa hela na mwanamke akakengeuka ujue ndo tabia yake hiyo - alikuwa anaficha makucha yake tu.
Ni kweli mkuu ila mara nyingi wanasumbua sana wakikuta zipo then ukaishiwa ila kama mmeanza kuzisaka wote hapo mtakaa bila wasiwasi
 
Ni kweli mkuu ila mara nyingi wanasumbua sana wakikuta zipo then ukaishiwa ila kama mmeanza kuzisaka wote hapo mtakaa bila wasiwasi
Hapa kuna kitu kinaendana na malezi ya huyo mwanamke, kama malezi yake ni mazuri hawezi kukengeuka. Na hasa wanaowaharibu watoto wa kike ni wamama zao - mtoto akijua mama alikuwa na tabia fulani kwa baba yake - akiolewa anaona ni sahihi kutenda kama mama yake alivyokuwa akitenda.
 
Mkuu kuna wengine wanabadilika kulingana na marafiki na mazingira waliokulia/wanayoishi ila wazazi (mama yake) unakuta ni mtulivu kabisa
 
Mkuu kuna wengine wanabadilika kulingana na marafiki na mazingira waliokulia/wanayoishi ila wazazi (mama yake) unakuta ni mtulivu kabisa
Na hilo lipo mkuu, kikubwa kukaza maombi uliye naye asikengeuke ...
 
....uzuri wa mume ni kumridhisha mke kwa penzi tu....mengine yote ni secondary...acheni bla bla...mke ukimpa haja ya pemzi la kitandani umemaliza...psychology ya mke ni rahisi sana ku deal nayo.. Chunguza mademu (wake) wanaotoka nje ya ndoa waulize wanatafuta nini huko...jibu mara nyingi ni penzi la kitandani....ukimkaza mkeo barabara.. Anajua unampenda...nae atakupenda sana...mambo mengine yote ni secondary... Hata wanawake matajiri wako radhi kukazwa na wanaume maskini kabisa... Maana faraja yao ni penzi la sita kwa sita...
 
Back
Top Bottom