Maisha uwanja mpana, ifikie hatua kila mtu aishi kwenye njia yake ambayo yeye anaona sahihi

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,046
4,608
Poleni na majukumu wananzengo

Mambo ambayo binafsi nakereka sana sema kwa sababu ya system nashindwa kuamua na sina pa kupereka

Wazazi kuforce vijana wao tuoe, kila mtu ana akili yake bhana, muache mtu aishi anavoona yeye sahihi

Kuona watu wakipinga starehe za watu mfn pombe, ganja na madawa sipendi kabisa kwa sababu kila mtu anakituchake anachokipenda we kunywa soda mi ntakunywa beer sio kupangiana maisha

Kununua gari kabla ya kujenga nyumba, wengi wao wanatafsiri hii kitu kama ushamba ila kiuhalisia kila mtu anakipaumbele chake kulingana na mazingira yake tuache kupangiana bwana

Vilio vya dada zetu kuhusu vibamia na kutofikishwa kileleni, apa niwaambie tu dada zangu hamuezi badirisha uhalisia kwa kulalamika hakuna mwanaume aliejiumbia hio dick hiyo ameumbiwa tu na iko hivo kwa sababu ya mazingira alokulia, wazungu wameturahishia ukiona huridhiki na mwenza wako nunua dildo kulingana na ukubwa wa uke wako na uitumie utakavyo sie wanaume tuna mambo mengi ya kufanya sio tu kukufikisha we

Kujiona we uko sahihi kuliko mwenzio hiki kitu sitakubaliana nacho hadi nakufa, kwa kifupi ni kua kila mtu yuko sahihi ki upande wake Koo tusisumbuane ishi uaminivyo tuepuke mijadala isiyo na maana

All in all muda ndo mwalimu mzuri, usihangaike kumuelekeza mtu kitu chochote kile, mda huwa haudanganyi
 
Kumekucha Sasa
October 28 Imebaki Week Moja
Relax Mkuu Ufanye Uchaguzi Sahihi
Achana Na Mafiga Matatu Yatatuchelewesha Sana
 
Upo sahihi, hakuna haja ya kuweka pressure kwenye maisha ya mtu mwingine.

Maadam mtu hasababishi maumivu wala mateso kwa mtu mwingine, basi huyo mtu aishi kama inavyompendeza.
 
Upo sahihi, hakuna haja ya kuweka pressure kwenye maisha ya mtu mwingine.

Maadam mtu hasababishi maumivu wala mateso kwa mtu mwingine, basi huyo mtu aishi kama inavyompendeza.
Ni kweli kabisa kama hakusababishii hasara tu acha mtu aishi atakavyo, asa ukitaka utengwe na jamii simamia unachoamini kama kuna yule dada alieanzishaga uzi wa kuhusu kuzaa na kufa kila
 
Ni kweli kabisa kama hakusababishii hasara tu acha mtu aishi atakavyo, asa ukitaka utengwe na jamii simamia unachoamini kama kuna yule dada alieanzishaga uzi wa kuhusu kuzaa na kufa kila
Jamii ina sheria na kanuni za kingese sana.
Hakuna haja ya kupingana nayo maana ni ngumu, wewe unatafuta namna ya kukwepa huo ungese bila kuathiriwa nao.
 
Hamna kitu kibaya kama kua na "rebellious child" mtoto alie shindikana kama huyu mwenye mawazo kama hayo, kama unaweza just shoot him dead, wanaleta mikosi kwenye familia
 
Hamna kitu kibaya kama kua na "rebellious child" mtoto alie shindikana kama huyu mwenye mawazo kama hayo, kama unaweza just shoot him dead, wanaleta mikosi kwenye familia
uko sahihi, ila jua tu hakuna mtu anaishigi milele

Unaonenekana unatabia za kibabe babe sana kama binadamu wa chato
 
Back
Top Bottom