Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

Baharia usikate tamaa mambo Kama magumu huko baharini upande Mafia-Nyamisati. Badili mazingira nenda Tanga,Mtwara au Ziwa Victoria ukitembea maeneo mbalimbali utajifunza mengi kimaisha na namna ya kupambana na hali tofauti.

Riziki mafungu 7, hata ukipata moja sasa pambana ipo siku yatatimia yote 7.
 
Ungeongelea kwenda kujilipua kwa aliyesababisha maisha magumu ningekuona wa maana,,
 
chongoe pita huku uone mikwara yako oohh najitosa baharini...siku ile chombo kiliposumbua uliogelea kwanini?!..ungetulia tu umshuhudie malakul mawt live bila chenga...
yan unataka kujinyonga halafu unategesha stuli karibu incase mambo yakitaiti uweke miguu..
 
hahahaa huyu chongoe yuko amejaa tele....unafanya mchezo na kifo mkuu..
[/QUOTE
Ah afadhari, tupashane siku Mungu akimpenda, anakaa mtaa gani ili niwe namfuatilia na mimi.
Hana maana, nilikaa na ndizi zangu mpaka zikaota kutu, pilipili na ndimu nilizitumia kwenye Korona.
Sasa sijui kama na wewe unaompango kama huo, tujuzane ndugu yangu.
 
Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.

Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huko unakojitosea ndyo una uhakika maisha yatakua poa ?, rudi huko tupambane mpaka kieleweke, giza likizidi ndyo kunakucha mkuu, haina kukata tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule alikokuwa kabla hajazaliwa ndiko anarudi
 

chongoe​


JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
Last seen 42 minutes ago
 
Back
Top Bottom