Maisha ni maisha ndugu zangu, yani utachapika na maisha ukishakuwa mnyonge wa mtu, hakuna cha karma wala malipo, malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Screenshot_20260117-124334.jpg

Life is a bxxch and then you die.
 
Jichanganye udhulumu uone kama ni ubabe ndo utajua hujui amini hutokaa upate amani kwako na familia yako kiujumla. Usidanganywe wale hupitia na kulipia mengi ni swala la muda tu. Nawengi si wa wazi kuusema ukweli wa maumivu hupitia baada ya kufanya dhulma kwa watu
 
Wazungu walioua mababu zetu na kudhulumu rasilimali zetu, walipatwa na nini?

Mbona wao wanazidi kutajirika, Halafu waafrika shida kila kukicha?
 
Back
Top Bottom