Maisha ni kitendawili...wengi hufa bila kutegua...

Theboss tutake razi sisi mama ntilie kwanza,

salama lakini mkuu,
nilikutafuta sana tarehe 1.4 sikukuona mkuu wangu
nilitaka nikuchomoe usd.

thanks...karibu,,,funny eh..
ni kama kuna free lunch offer kempisiky...
halafu unakutwa umekufa kwa kugombana na mama ntilie.....sad but funny...and strange...
 
In life we dont get what we want but we take what we get that is what happened to Kanumba the late
 
Mazingira unayoishi na kufanyia kazi
ndiyo haswa chanzo cha kuokota mikokoteni.

Lakini Mungu naye anasitahili utukufu kwa hili,
kwa kuwa anakuwa ameshakuandalia mazingira yako,
kabla hujazaliwa.
 
Wakati mwingine hata mpendaji hua hana uhakika kama anapenda kweli/haswa au la. . .achilia mbali anaependwa so ofcourse lazima kitendawili kiwepo kwenye haya maswala.

Ubaya ni kwamba wewe mtu wa nje unamsaidia kuhukumu "wanawake waliokuwepo kwenye maisha yake" as if walilazimisha kuwepo japo hawakumfaa wakati yeye ndio hao aliowataka na kuwachagua. Angetaka wa aina tofauti angeweza kuwa nae/nao. . .sema hakuchagua tu.
 
In life we dont get what we want but we take what we get that is what happened to Kanumba the late

Unajuaje kua alichokua anakitaka sicho alichokua nacho? Acha kumwongelea mtu kwa uhakika kabisa kama vile uliwahi ishi kichwani mwake.
 
wakati mwingine hata mpendaji hua hana uhakika kama anapenda kweli/haswa au la. . .achilia mbali anaependwa so ofcourse lazima kitendawili kiwepo kwenye haya maswala.

Ubaya ni kwamba wewe mtu wa nje unamsaidia kuhukumu "wanawake waliokuwepo kwenye maisha yake" as if walilazimisha kuwepo japo hawakumfaa wakati yeye ndio hao aliowataka na kuwachagua. Angetaka wa aina tofauti angeweza kuwa nae/nao. . .sema hakuchagua tu.
tuwe realy
lizzy sijui kama unajua hili gemu la mapenzi
 
Imetulia . . . .

Jamani wale wanaonimind, naomba mfunguke sasa. naomba msinisukume lakini . . .

Ebwana ndio!
Teh teh teh.
Afadhali umevunja ukimya. Hope utapata PM za kutosha kutoka kwa akina dada wanaokuzimikia.
Kila la kheri

Acha tu...hiyo mbaya sana unampenda mtu na yeye hajui au hakuoni kama upo. The other side of story, kama haujasema au tamka vipi mlengwa atajua kama unampenda. Inataka mfalme njozi kujua.

Kanumba was hanging with birds of the same feathers, so I was not expecting he would have someone different.

Ni kweli nisawa na kuchagua ccm kila uchaguzi na kutegemea matokeo tofauti ya maendeleo!!It becomes a pipe dream!
 
Kwahiyo kifo chake kinaonyesha hakua anamtaka Lulu? Kama hiyo "bahati mbaya" isingetokea akatangaza ndoa (huwezi jua labda alikua anapanga) mngesema nini?
ni vigumu kuujua moyo wa mtu,ni ngumu kujua kiujazacho moyo wa mtu,truth,lies ... ni ngumu. ni ngumu kuijua kesho/future na mapenzi ni moyo na /future/kesho.so kama huwezi kupredict kesho/future na huwezi kujua moyo wa mtu ? what next .sooo hard to play the game madame lizzy
 
Sasa kama ni ngumu mbona mmemuamulia mwenzenu kua aliokua nao alikua nao alimradi?
 
Wakati mwingine hata mpendaji hua hana uhakika kama anapenda kweli/haswa au la. . .achilia mbali anaependwa so ofcourse lazima kitendawili kiwepo kwenye haya maswala.

Ubaya ni kwamba wewe mtu wa nje unamsaidia kuhukumu "wanawake waliokuwepo kwenye maisha yake" as if walilazimisha kuwepo japo hawakumfaa wakati yeye ndio hao aliowataka na kuwachagua. Angetaka wa aina tofauti angeweza kuwa nae/nao. . .sema hakuchagua tu.

umeongea point Lizzy
ndo maan nilipomjibu SUN WU
nilisema kuwa sometimes 'watu huwa wanapendwa na watu wengine'
kuliko wanavyojipenda wenyewe'
 
ukitaka furaha usimwamini mtu usiweke akiba yote ya mapenzi kwa mtu bakisha kidogo
Smile, that is the most difficult examination to pass in the world. Maana ukishakuwa na akiba ya mapenzi kibindoni, lazima utampa mtu mwingine. Nakuhakikishia kwamba majority ya wale wanaotoka nje ya ndoa wameweka akiba ya mapenzi kibindoni. Sasa hiyo akiba ndiyo huwa ni rahisi sana kunyakuliwa na mafisi. Kama umeamua kumkubalia basi mpe moyo wako wote, na pale utakapoumizwa Unaamua kusahau kabisa habari za kupenda.
 
Ukiwa utapenda, penda whole heartedly, life and love is all about risk kama hautafakinikiwa atleast you tried rather than living in regrets.
 
Smile, that is the most difficult examination to pass in the world. Maana ukishakuwa na akiba ya mapenzi kibindoni, lazima utampa mtu mwingine. Nakuhakikishia kwamba majority ya wale wanaotoka nje ya ndoa wameweka akiba ya mapenzi kibindoni. Sasa hiyo akiba ndiyo huwa ni rahisi sana kunyakuliwa na mafisi. Kama umeamua kumkubalia basi mpe moyo wako wote, na pale utakapoumizwa Unaamua kusahau kabisa habari za kupenda.
422858_165189323600480_100003282396998_227492_755069803_n.jpg

.
 
Back
Top Bottom