Funguka.....
kweli maisha ni kuomba bahati na sio pesa...
Leo nimepata kitendawili chengine leo...kula hata sitaki!
mambo ya hayo
hawa sijui walianza kutoka liniView attachment 51688
kitendawili chako kinahusu thread hii siyo?
pedophile on scene!Vitoto vya miaka 16 vitamu aisay...si ndo mimi naona wanze kutoa ruksa tuvianzie
lazima ujisikie vibaya kama mzazi, tena kama una w a kike unamfikiria wa kwakoToka hii event ya kifo cha Kanumba... bado sijaelewa exactly what I feel.... Sijaweza comment lolote.... sasa nikiangalia hii picha..... SPEECHLESS..... And very very SAD.
mhhhhhjibu my pm basi..
Mna uhakika gani kama yeye ndo kamua, wacheni kununua kesi msio ziweza.lazima ujisikie vibaya kama mzazi, tena kama una w a kike unamfikiria wa kwako
mie kwa kweli pale sioni kosa, kama mmoja muuaji, mwingine mbakaji pia
nebanwa na kikohozi mkuu tehe tehe
Kweli maisha ni kitendawili
na leo nimethibitisha wengi hufa bila kutegua.....
hebu fikiria hiii
kuna wanawake na wasichana wangapi
ambao pengine walikuwa wako tayari kumpa 'faraja na amani na mapenzi ya kweli Kanumba'?
watakuwa ni weengi mno...maelfu na maelfu na mamilioni labda...
but tazama wanawake waliokuwa katika maisha yake
Wema Sepetu na wengine..
na mwisho akafia kwa kitoto Lulu.....
utasema hakuwahi 'kupendwa kikweli kweli na na mwanamke wa maana'
yet kuna miliions walikuwa probably wanamtaka.....awe their man forever....
maisha ni kitendawili......kikubwa....
inawezekana wewe au mimi pia tunahangaika kila siku na 'wapenzi wetu full micharuko'
hadi tunakata tamaa while kuna maelfu kila siku wanakutazama na kimoyomoyo wanasema
'ningempata mimi yule' dah....
mwisho siku ukifa ndo wanalia hadi kuzimia.....while ulipokuwa hai...
walishindwa tu namna ya kukusogelea na kufunguka labda.....
au walikusogelea ukashindwa kuwatambua ukachagua micharuko
think about it..........