Maisha ni kitendawili...wengi hufa bila kutegua... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha ni kitendawili...wengi hufa bila kutegua...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Apr 10, 2012.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Kweli maisha ni kitendawili
  na leo nimethibitisha wengi hufa bila kutegua.....

  hebu fikiria hiii

  kuna wanawake na wasichana wangapi
  ambao pengine walikuwa wako tayari kumpa 'faraja na amani na mapenzi ya kweli Kanumba'?

  watakuwa ni weengi mno...maelfu na maelfu na mamilioni labda...

  but tazama wanawake waliokuwa katika maisha yake

  Wema Sepetu na wengine..
  na mwisho akafia kwa kitoto Lulu.....

  utasema hakuwahi 'kupendwa kikweli kweli na na mwanamke wa maana'

  yet kuna miliions walikuwa probably wanamtaka.....awe their man forever....

  maisha ni kitendawili......kikubwa....

  inawezekana wewe au mimi pia tunahangaika kila siku na 'wapenzi wetu full micharuko'
  hadi tunakata tamaa while kuna maelfu kila siku wanakutazama na kimoyomoyo wanasema
  'ningempata mimi yule' dah....

  mwisho siku ukifa ndo wanalia hadi kuzimia.....while ulipokuwa hai...
  walishindwa tu namna ya kukusogelea na kufunguka labda.....
  au walikusogelea ukashindwa kuwatambua ukachagua micharuko

  think about it..........
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  True dat The Boss lyk my niqqa rozay!
   
 3. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Is it?

  Kweli ni kitendawili kigumu.
   
 5. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  The Boss, I like it! Analytical Thinking!
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  powerful................your are really the BOSS...................ni ukweli mtupu..........
   
 7. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Na hivyo ndivyo maisha yanavyopaswa yawe. Ndiyo maana idadi kubwa ya wanaume wanaishi na wanawake wasiowapenda but ndiyo waliokuwa available wakati wanatafuta wake wa kuoa, na kuna wanawake wanaoishi na wanaume wasiowapenda but ndiyo waliowatokea wakati huo wakiwa wanawatamani wengine. Na wapo pia ambao wameshindwa kabisa kuolewa au kuoa kutokana na kuendelea kumfikiria fulani na kuwakataa wote wanaojitokeza mbele yake. So huu ndiyo mfumo wa maisha ulivyo. Huwezi kuutegua.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  thanks...karibu,,,funny eh..
  ni kama kuna free lunch offer kempisiky...
  halafu unakutwa umekufa kwa kugombana na mama ntilie.....sad but funny...and strange...
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kweli maisha ni kuomba bahati na sio pesa...
   
 10. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Sababu hatukuwepo kwenye hizo relationship hatuwezi kusema kama ali-miss au alikuwa fulfilled. Hatuwezi kujua hao walimpa nini huenda ndio walimpa furaha na nguvu za kuigiza.., hatuwezi kujua kama yeye ndio alikuwa part of the problem and those were the best for him.., hatuwezi kujua labda Wema turned out to be Wema sababu ya uhusiano wake na huyo muhusika..,

  Ni kweli maisha ni kitendawili and nobody knows, lakini badala ya kusumbuka kukitengua ni bora to live and cherish the moment..., the what ifs... nobody knows. Also maybe Ka-Lulu turned out to be Ka-Lulu because of intermingling na hao hao ambao unasema deserved better (maybe Lulu deserves better)
   
 11. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Imetulia . . . .

  Jamani wale wanaonimind, naomba mfunguke sasa. naomba msinisukume lakini . . .
   
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mie sitakusukuma ila nina chupa ya jack daniels....karibu.
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Wewe mwenyewe huwa unasema kuwa tunakuwa attracted na bad boys/girls.

  Wazuri tunaona wanaboa, hawatupi challenges wala excitements!

  Ndio dunia ilivyo ingawa inauma sana!
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  exactly kama ulikuwa kichwani mwangu
  thanx kwa ku add this....still ni kitendawili......
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  watajifanya kuzimia siku unatutoka lol
  bora umewaambia kabisa
   
 16. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Boss what a word sir, hapa pia ni kumtanguliza Mungu awe taa na nuru ya kuongoza ... watu wafunguke in aright way..!! uhai bado ungalipo na aepushe micharuko in our ways!! ... ili ikiwezekana kupunguzaa vilio na maobolezo baada ya kifo!!!
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Halafu The Boss,

  Kuna watu kibao wanaopata bahati ya kukumbuka shuka wakati tayari jua limeshachomoza; na halifai hata kwa vibabu vinavyotamani kuota jua la asubuhi, utaviona vinakimbilia ndani kupata unafuu wa kivuli!!

  Maisha ni ulevi, tena wa bangi...lol!!

  Babu DC!!
   
 18. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Boss, thanks for your ping, but sometimes God allows us to go through all these hard times so we can learn to believe in Him more. And also learn to thank Him for what he does for us everyday. Sometimes He uses challeges as a ladder to lift us to a higher level of glory and grace..
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  mkuu kwa kuongezea point yako
  lets say he was a problem..
  but ukweli ni kuwa wapo weengi waliompenda maybe kuliko alivyojipenda yeye
  hapo ndo kitendawili kinakuja
  kwa nini wengine hupendwa kuliko wanavyojipenda wenyewe
  unakuta mtu ana 'self destruction behavior' mpaka mwisho wake unamfika
  na watu wanamlilia hadi kumtetea hadi mwisho..
  huoni hiko ni kitendawili kikubwa?
  mtu anaweza kuthaminiwa kuliko anavyojithamini yeye mwenyewe
  kwa hiyo kushindwa 'kujilinda' na kuwaumiza wanaompenda
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ha haa life is funny DC
  siku zote watu 'they want what they cant have'
  hata kama ni upuuzi tu
   
Loading...