Maisha ni hadithi fupi

Maisha ni hadithi fupi

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
133
Reaction score
175
Kutoka kuitwa Mheshimiwa ama Boss mpaka kuitwa Marehemu, kutoka kuvaa cheni za Dhahabu na vidani vya Almasi mpaka kuveshwa Mataji, kutoka kutupia Pamba kali mpaka kuwekwa pamba puani.

Kutoka kupokelewa VVIP Airport mpaka kusubiriwa sehemu za mizigo ili Jeneza lako liwasili, kutoka kulala hotel ghali Fivestars mpaka chini ya ardhi, kutoka kumiliki mali za kila aina mpaka kumiliki jeneza ama sanda peke yake.

Maisha ni simulizi fupi sana, starehe ya muda mfupi, huanza na Adhana kisha huisha kwa swala, Maisha
 
Akili kama hizi mtoa mada zinatufanya tuendelee kuwa hapa tulipo kwenye dimbwi kubwa lisilo la mfano la umaskini hasa sisi waafrica
 
Ukikaa na kuitafakari safari ya maisha katika hali ya ubinadamu wa kawaida....ukitazama waliopita kabla yako......utajifunza kitu kikubwa sana kwenye maisha......
 
Kutoka kuitwa Mheshimiwa ama Boss mpaka kuitwa Marehemu, kutoka kuvaa cheni za Dhahabu na vidani vya Almasi mpaka kuveshwa Mataji, kutoka kutupia Pamba kali mpaka kuwekwa pamba puani.

Kutoka kupokelewa VVIP Airport mpaka kusubiriwa sehemu za mizigo ili Jeneza lako liwasili, kutoka kulala hotel ghali Fivestars mpaka chini ya ardhi, kutoka kumiliki mali za kila aina mpaka kumiliki jeneza ama sanda peke yake.

Maisha ni simulizi fupi sana, starehe ya muda mfupi, huanza na Adhana kisha huisha kwa swala, Maisha
Wewe ni mvivu ndio mana unawaza hivyo pia Mafundisho ya wajanja yameshakulevya huna ulijualo chini ya jua ndomana unawaza kufa kufa sikia mpokeevYESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKO MAISHA YAKO YAWE MAREFU SIKUTANII NDUGU YANGU AMEN
 
Hii ni tafakari nzito na ya kugusa moyo kuhusu maisha na uhalisia wake. Inaonyesha namna binadamu huanza kwa shangwe na hadhi, lakini mwisho wake ni udogo na unyenyekevu mbele ya mauti. Ujumbe huu waweza kuhitimishwa vizuri kwa sentensi kama:

“Maisha ni safari ya muda mfupi—tumia kila siku kwa wema, kwa maana mwisho wa yote, si mali, si hadhi, bali matendo yetu ndiyo yatakayosalia.”
 
Back
Top Bottom