National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
- Thread starter
- #61
Mie mwenyewe 😅😅😅Rafiki yako kapata mchumba??🤣🤣🤣
Mie mwenyewe 😅😅😅Rafiki yako kapata mchumba??🤣🤣🤣
😅😅😅Umewaza nini mkuu?
Unaweza kuwa very romantic mkuu!
Kesho upo wapi nije ntupige story mbili tatu ila mchana mchana hivi 😅😅Kumekuchaaa huku sasa.
acha hizo basi mkuuuu 😊😊😊Single mother hawamuachi mtu salama kuna siku baby daddy atakula papuchi kama kitumbua cha mamantilie🤣🤣
Sawa😌
umekuwa mganga a.k.a kigagura 😅😅Mtaachana tu.
God found me a woman, my woman my priorityMapenzi ni matamu nahofia kuumizwa moyo, nashindwa kujaribu roho inaniuma sana,,
hongera mchizi wangu kwa kufall in love
🤣🤣🤣 alafu we shenzii sanaaaa.. itakuwa weyeee ndio wa makumbushoo.. picha yule mdau alikuwa kama pacha wanguu.. alafu juzi juzi nilikuwa nzegaaa.. au una ni monitorTisi wa Nzega.
View attachment 2679522
Dah hongera sana 🤩God found me a woman, my woman my priority
She fall in love with who I am
🤭🤭🤭
Love is a very beautiful thing 😍😍Mungu awatunzie huba lenuNimependaa kweli kweli 😊😊😊
Sema jambo😀😀😀😀😀Mnhhhh
Miguu yako imeni distract kabisaSema jambo😀😀😀😀😀
😂😂😂😂😂 Io nyimbo hujaisikiliza?Miguu yako imeni distract kabisa
Kaimba Nani...nimesikia kama country hivi..😂😂😂😂😂 Io nyimbo hujaisikiliza?
Uduguuu nisameheee, najisahauu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Udugu acha nyege, tushaandaa passport [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitu cha west life-puzzle of my life👍Kaimba Nani...nimesikia kama country hivi..
Wewe kama umeguswa Sana ...hiviKitu cha west life-puzzle of my life👍
National Anthem ndo amefolu ivo tiari 😂😂😂😂😂