📌📌📌📌Mtaachana tu.
Rafiki yako kapata mchumba??🤣🤣🤣
Ndio jirani, unaweza kuongea lolote 🤣🤣🤣Hazijawahi kumuacha mtu salama sio😃😃🤣🤣🤣🤣
Wakati wowote 🤣🤣🤣🤣Ndio jirani, unaweza kuongea lolote 🤣🤣🤣
Mwenyewe upo in love kweli kweli.
Ni ku dedicate na weweee ??? 😂😂😂😂Kumekuchaaa huku sasa.
Kila mtu anawataka mwenzang. Ila bora hv kuliko haliko romantic halaf zipu waaaaaZipu zao zinakuwa na shida kufunga😀
Mbona kinyonge?🙄Sawa😌
Ni dedicate na mie niji feel ninapendwaa,Ni ku dedicate na weweee ???
Naona kuna mtu humu kaambiwa ni Puzzle of his heart![]()




Akili za nyege mbaya saana 😂🤣Kichwa cha chini kishapata moto bro![]()
Fid q ft christian bella.Mapenzi ni matamu nahofia kuumizwa moyo, nashindwa kujaribu roho inaniuma sana,,
hongera mchizi wangu kwa kufall in love
Akili za nyege mbaya saana![]()



Mapenzi ni matamu nahofia kuumizwa moyo, nashindwa kujaribu roho inaniuma sana,,
hongera mchizi wangu kwa kufall in love



Ni dedicate na mie niji feel ninapendwaa,![]()



