daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
Week iliyopita nimeanza rasmi maisha mapya baada ya kumaliza shule..ah ndani ya week moja Tu nayaona magumuu.
Nahisi kua soo lonely,namiss marafiki nliosoma nap japo twawasiliana kwa simu
Kuna mda naona kama sijielewii..sijui hata najiskiaje..
. Wakuu wenye busara napenda kusikia namna mlivocope na hiki kipindi cha transition toka uanafunzi to ufanyakazi na especially wakati mnatafuta kazi.regards!