Maisha mapya katika nchi za watu

Maisha mapya katika nchi za watu

Hizi story huwa kichwa changu kinakuwa Makini sana kuzisomašŸ˜ŽšŸ˜Ž
 
Siku moja Henry akiwa nyumbani, barua zilidondoka. Kuangalia hivi passport imerudi kutoka immigration amegongewa indefinite leave to remain. Aliinua mikono juu alimshukuru Mungu.

Alikwenda chumbani, alipack vitu vyake muhimu kwenye begi na kutafuta bed and breakfast. Maisha na yule mama hayakuwezekana kabisa. Alikaa kwenye bed and breakfast kwa wiki moja akiwa anatafuta nyumba.

Alipata nyumba na kuanza mipango ya kurudi nyumbani kuwaona watoto wake. Aliwaza kukutana na mkewe ikiwezekana amtoe kwa jamaa warudiane walee watoto wao. Mke alishaanza famila nyingine na jamaa.

Henry aliwaona watoto shuleni, alikaa nao hotelini weekend kama mbili. Likizo ilikwisha aliondoka.
 
Aliondoka bili kumtafuta mke wake,!!! Eee tuendeee
 
Henry alifanikiwa kununua nyumba. Yule mama almtrace Henry mpaka akajua anapokaa. Alifanya uchunguzi mida Henry anakua nyumbani, aligonga mlango. Wakati huo Henry alikua na mtoto mzuri wa Ki Brazil anaishi nae.

Mama alifanya varangati mpaka polisi waliitwa. Anawaambia polisi mimi ndiye nimempa makaratasi na akanikimbia. Polisi walimfahamisha kuwa hilo si swala lao kufahamu, wamekuja kuleta amani ili dereva wa basi apumzike ili kesho aweze kupeleka watu makazini.

Mama alipigwa ban kusogea mita 100 karibu na nyumba anayoishi Henry. Nilikutana na Henry baada ya miaka mingi, alinifahamisha walirudiana na mama ili walee mtoto wao ukizingatia na yeye hana tena mke.
 
Baby shower ilifanyika kubwa, mama alikua ndiyo mwenyekiti wa umoja wa wanawake kwenye community, alichangia sana harusi za watoto wa mashost. Leo baby shower ya mwenyekiti wote walileta zawadi na kupiga selfie za kutosha.

Huku nyumbani Henry alishamfahamisha wife mchongo mzima kuwa hapa ni temporarily, yakiitika babe unapanda pipa na vijana.

Picha za baby shower zilijaa Facebook na Instagram, mama na baba kijacho wakipokea zawadi. Wapenbezit nuksi waka mtag mke wa Henry. Hali ya hewa ilichafuka sana.
Hapo chacha ndo balaa
 
Mtoto wa kike alizaliwa, Henry akawa baba. Alianza kulipa child care na bills nyumbani alimsaidia mama. Mortgage ilikuwa inatoka kwenye mshahara wa mama.

Mke wa Henry huku nyumbani alikiwakisha. Umeoa kila mtu anajua unanifanya mimi mpumbavu, picha za baby shower zinazunguka duniani.

Mmoja katika kamaa aliiofanya nao kazi bank alimuoa mke wa Henry. Watoto aliwafungasha na kumkabidhi kaka yake Henry mkubwa.
Duuuh
 
Henry alifanikiwa kununua nyumba. Yule mama almtrace Henry mpaka akajua anapokaa. Alifanya uchunguzi mida Henry anakua nyumbani, aligonga mlango. Wakati huo Henry alikua na mtoto mzuri wa Ki Brazil anaishi nae.

Mama alifanya varangati mpaka polisi waliitwa. Anawaambia polisi mimi ndiye nimempa makaratasi na akanikimbia. Polisi walimfahamisha kuwa hilo si swala lao kufahamu, wamekuja kuleta amani ili dereva wa basi apumzike ili kesho aweze kupeleka watu makazini.

Mama alipigwa ban kusogea mita 100 karibu na nyumba anayoishi Henry. Nilikutana na Henry baada ya miaka mingi, alinifahamisha walirudiana na mama ili walee mtoto wao ukizingatia na yeye hana tena mke.
Hiii Stori yako AISOME MKE WA ROMA MKATOLIKI.
Its seeems inahusu Roma Mkatoliki kwa asilimia 75 bado kidoooogo iwe 100%. Tusubiri kidogo muda utaongea
 
Hizi story za kutembea na kurasa, una peluzi kama gazeti la mzalendo la zamani (Kubwaaaa)
 
Baby shower ilifanyika kubwa, mama alikua ndiyo mwenyekiti wa umoja wa wanawake kwenye community, alichangia sana harusi za watoto wa mashost. Leo baby shower ya mwenyekiti wote walileta zawadi na kupiga selfie za kutosha.

Huku nyumbani Henry alishamfahamisha wife mchongo mzima kuwa hapa ni temporarily, yakiitika babe unapanda pipa na vijana.

Picha za baby shower zilijaa Facebook na Instagram, mama na baba kijacho wakipokea zawadi. Wapenbezit nuksi waka mtag mke wa Henry. Hali ya hewa ilichafuka sana.

Hapo ndo huyo bwana alikosea. Hakupaswa abadan kumwambia mkewe.
 
Wakati huu Henry alipata mshahara wa kueleweka lakini alijibanza kwa mama kaisubiri makaratasi. Kila Jumamosi na Jumapili inabidi aende kwenye party na mama wakati kazini ndiyo shift zinalipa.

Kumziba mama mdomo Henry alibadilisha sakafu ya nyumba, alitoa fitted carpet aliweka tiles, alibadili makochi aliweka leather na jikoni alibadili fridge, jiko kila kitu.

Hajakaa sawa mama amepata mimba ya menopause khe, Henry alikuna kichwa.
 
Hizi story nimezisikia time and again in real life, in person. Makaratasi can be a living hell.
 
Hatari faya ili kumpumbaza mwanamke wake awe anamtumia mishiko tu ya kufa mtu na asiruhusu kumuita aje kumtembelea huko mbele ila yeye ndio arudi bongo kila baada ya mwaka.,,,Akishajijenga ndio arudi Bongo mazima.
Kuna jamaa jirani yangu hapa tall Jeusi, ni dereva tours ana mke na watoto wawili, lakin hii time ya korona kapata mzungu wake sijui ni mdada au ni mmama, lakini kwenye account dolari zinaingia kama zote jamaa kashusha bonge la mjengo na fensi kabisa na usafiri juu,
Sahiv anataka afungue kampuni kabisa ya utalii ndo mipango iliyopo lakini mke hajui kitu yupo bize na kanisani
 
Hahahaa ukiwa na mpunga wa kutosha na unafanya mambo makubwa na wife anapata kila anachotaka hapo hawazi hata kama una mchepuko.
 
Back
Top Bottom