kama bro wangu yuko uko kazi yake ni kuosha ma swimming pool anapiga magonga mbaya kabisa!!ila kibibi alichokioa kibaya kizee kinavaa adi meno ya bandia.daahh maisha haya improvise sana

chaiBaby shower ilifanyika kubwa, mama alikua ndiyo mwenyekiti wa umoja wa wanawake kwenye community, alichangia sana harusi za watoto wa mashost. Leo baby shower ya mwenyekiti wote waliketa zawadi na kupigaepicha.
Huku nyumbani Henry alishamfahamisha wife mchongo mzima kuwa hapa ni temporarily, yakiitika babe unapanda pipa na vijana.
Picha za baby shower zilijaa Facebook na Instagram, mama na baba kijacho wakipokea zawadi. Wapenbezit nuksi waka mtag mke wa Henry. Hali ya hewa ilichafuka sana.
Wakati huu Henry alipata mshahara wa kueleweka lakini alijibanza kwa mama kaisubiri makaratasi. Kila Jumamosi na Jumapili inabidi aende kwenye party na mama wakati kazini ndiyo shift zinalipa.
Kumziba mama mdomo Henry alibadilisha sakafu ya nyumba, alitoa fitted carpet aliweka tiles, alibadili makochi aliweka leather na jikoni alibadili fridge, jiko kila kitu.
Hajakaa sawa mama amepata mimba ya menopause khe, Henry alikuna kichwa.

Ameshakamtwa hapo hawezi kurukaDuh aisee, hapo kwenye mimba ndio mtihani hasa kama lengo lake lilikuwa kupata makaratasi.
Na msimuliaji utadhani yupo mahali anapata k vantBila picha hainogi habari kuishia njiani..wazee tupo kikaoni tunasubiria umalizie
Kazi kweli kweli , Enhee leta uhondoMtoto wa kike alizaliwa, Henry akawa baba. Alianza kulipa child care na bills nyumbani alimsaidia mama. Mortgage ilikuwa inatoka kwenye mshahara wa mama.
Mke wa Henry huku nyumbani alikiwakisha. Umeoa kila mtu anajua unanifanya mimi mpumbavu, picha za baby shower zinazunguka duniani.
Mmoja katika kamaa aliiofanya nao kazi bank alimuoa mke wa Henry. Watoto aliwafungasha na kumkabidhi kaka yake Henry mkubwa.
Tena chai yenye hamirachai
Uzi bado unaendelea?Hii story inamhusu Henry, kijana wa miaka 32 aliyekuwa mhudumu wa bank kwa miaka 10. Ana mke na watoto wawili wa kiume. Siku mojja waliitwa kazini na kuambiwa bank wanapunguza wafanyakazi, alilipwa kiinua mgongo milioni 15.
Alifikiria jinsi atakavyo endesha maisha na ile pesa. Aliamua kulipa kodi ya miaka miwili, alimpa mke wake milioni 4, nyingine alilipia shule Ulaya na kupata visa.
Alipofika Ulaya mwenyeji wake alikua anaosha magari. Ilibidi ajiunge nae. Katika maongezi alimueleza mwenyeji wake kuwa amekwenda kutafuta maisha. Mwenyeji wake alimshauri aoe ili awe na resident permit.
Katika ile car wash mwenyeji wake alijuana na wateja wengi sana. Kuna mama wa 42 ana watoto wawili, nyumba career ya kueleweka lakini hana mume. Alimuona huyu ni right candidate.
Kaka yake Henry alimpigia simu kumfahamisha hali halisi, Henry alumuomba kaka yake atafute shule ya boda nzuri awapeleke watoto, watakua wanarudi kwa uncle likizo.
Baada ya mtoto kuzaliwa Henry alitegemea tabia ya mama itabadilika. Siku moja rafiki wa Henry wamekuja kumona mtoto, Henry alipika, alinunua bia wakanywa, sasa kuna yale maongezi ya jamaa yao na mke wa Henry kule nyumbani wanashindwa kuyaongea pale.
Wageni walipoaga wanaondoka, Henry alitoka nao wakamalizia maongezi bar. Walitandika tungi mpaka saa nne usiku. Henry alitoka akijua mama yupo ndani hakubeba funguo.
Aliporudi saa nne usiki mama aligoma kufungua mlango. Henry aligonga mwisho ilkua kero kwa majirani. Hakua hata na funguo za gari, bahati nzuri alikua na simu. Alimpigia mmoja wa rafiki zake alimchukua mpaka kwake akalala huko.

Wenye data hafifu tukomee wapiKaka yake Henry alimpigia simu kumfahamisha hali halisi, Henry alumuomba kaka yake atafute shule ya boda nzuri awapeleke watoto, watakua wanarudi kwa uncle likizo.
Baada ya mtoto kuzaliwa Henry alitegemea tabia ya mama itabadilika. Siku moja rafiki wa Henry wamekuja kumona mtoto, Henry alipika, alinunua bia wakanywa, sasa kuna yale maongezi ya jamaa yao na mke wa Henry kule nyumbani wanashindwa kuyaongea pale.
Wageni walipoaga wanaondoka, Henry alitoka nao wakamalizia maongezi bar. Walitandika tungi mpaka saa nne usiku. Henry alitoka akijua mama yupo ndani hakubeba funguo.
Aliporudi saa nne usiki mama aligoma kufungua mlango. Henry aligonga mwisho ilkua kero kwa majirani. Hakua hata na funguo za gari, bahati nzuri alikua na simu. Alimpigia mmoja wa rafiki zake alimchukua mpaka kwake akalala huko.
Sky tunafatilia kwa ukaribu leta muendelezo,Kaka yake Henry alimpigia simu kumfahamisha hali halisi, Henry alumuomba kaka yake atafute shule ya boda nzuri awapeleke watoto, watakua wanarudi kwa uncle likizo.
Baada ya mtoto kuzaliwa Henry alitegemea tabia ya mama itabadilika. Siku moja rafiki wa Henry wamekuja kumona mtoto, Henry alipika, alinunua bia wakanywa, sasa kuna yale maongezi ya jamaa yao na mke wa Henry kule nyumbani wanashindwa kuyaongea pale.
Wageni walipoaga wanaondoka, Henry alitoka nao wakamalizia maongezi bar. Walitandika tungi mpaka saa nne usiku. Henry alitoka akijua mama yupo ndani hakubeba funguo.
Aliporudi saa nne usiki mama aligoma kufungua mlango. Henry aligonga mwisho ilkua kero kwa majirani. Hakua hata na funguo za gari, bahati nzuri alikua na simu. Alimpigia mmoja wa rafiki zake alimchukua mpaka kwake akalala huko.
Madam na wewe unatuletea za ITAENDELEA 😀😀Henry alipeleka mahari nyumbani kwa yule mama, walifanya harusi ya serikali. Yule mama alikua mpambe mashuhuri, alitaka mume wa kuvaa nae sare akienda kwenye ma party. Henry alipanda juu, handsome fulani. Akitokea kwenye party na mama, mama anajiona amepata mume.
Kasheshe ilianza sasa wakati maisha halisi yanaendelea. Mwanamke ana gubu, Akilala kwenye kochi mchana anaambiwa utaniharibia makochi yangu, akifungua fridge anarajiwa bei yake.
Henry alikaza moyo, alitafuta leseni ya magari akapata kazi kama dereva wa basi. Udereva wa basi Ulaya kuupata ni process ndefu na ni moja ya unskilled labour inayolipa vizuri. Henry alipiga mzigo na faraja kubwa aliipata kiwa kazini. Nyumbani kulikua kwa moto sana.
Ameingia kwenye tanuru la motoHii story inamhusu Henry, kijana wa miaka 32 aliyekuwa mhudumu wa bank kwa miaka 10. Ana mke na watoto wawili wa kiume. Siku mojja waliitwa kazini na kuambiwa bank wanapunguza wafanyakazi, alilipwa kiinua mgongo milioni 15.