nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,815
- 4,791
imekwisha hiyooooo....hahahahahahEndeleza hii story
imekwisha hiyooooo....hahahahahahEndeleza hii story
Wazungu wamejaa kibao tu, ila kama unalipa, vigezo na masharti kuzingatiwaMi mwenyewe nikipata kibibi cha kizungu Lizabeta wangu napiga chini.Njaa inatandika jamani.
Kwani mke wa Roma nae ana Bwana?Hiii Stori yako AISOME MKE WA ROMA MKATOLIKI.
Its seeems inahusu Roma Mkatoliki kwa asilimia 75 bado kidoooogo iwe 100%. Tusubiri kidogo muda utaongea
Imeisha hiyoo!Endeleza hii story
Unaweza kukuta ni mambo ya LWANDA MAGERE.Kuna jamaa jirani yangu hapa tall Jeusi, ni dereva tours ana mke na watoto wawili, lakin hii time ya korona kapata mzungu wake sijui ni mdada au ni mmama, lakini kwenye account dolari zinaingia kama zote jamaa kashusha bonge la mjengo na fensi kabisa na usafiri juu,
Sahiv anataka afungue kampuni kabisa ya utalii ndo mipango iliyopo lakini mke hajui kitu yupo bize na kanisani