Maisha halisi ya member wa JF ni tofauti kabisa na walivo humu

Aisee ukimkuta Richard azikaanga chips na kuku utashangaa kumuona hachezi mbali na simu yake akichungulia JF.

30-chf-chicken-wings.jpg


Jamani karibuni hapa Tandale Kwamtogole ufaidi mbawa za kuku maarufu kama "Wicked wings" na viazi vyake vyenye ukaukau wa kutosha.

:):)
 
Hahaha... hawa wazee wajanjaa saana.

Alijua utamharibia.

sumbai kaenda wapi! Simwoni kabisa.

Na wewe naona umeonaurudi kwenye uhalisia wako.
Hahaha chief nipo mkuu siku hizi nimeamua kuwa international obserever mambo mengi na muda ni mchache.

Cc YOUNGBLOOD
 
Nina rafiki yangu nahisi yupo humu maana stories anazonipaga nyingi huwa nishaziona humu so huwa anapenda uliza ID yangu maana anajua nipo huku

Ukisikia kuanza kufatiliana ndo huku na hapa atakuwa kashanijua nahisi shauri yako kama umenijua au la.
 
Mbunge na waziri mstaafu mmoja E.M majina yake,toka moja ya jimbo shinyanga.Nilikua na3 harusini alikua busy na Jf sana.
sijui kwanini Ezekiel maige namuonaga kama mshamba vile,lakini vvitu anavyofanya sio vya kishamba
 
Juzi wakati naenda Dodoma nilikaa siti moja na mzee ana kama miaka 50 or 60, aisee nilishangaa sana kuona yule mzee anatumia Jf.
Nilijaribu kumlia chabo nione Id yake ila alikuwa makini sana anapost huku anaficha simu na kuniangalia usoni...nadhani alikuwa Mshana Jr.
Hahahahah
 
Back
Top Bottom