Maisha halisi ya member wa JF ni tofauti kabisa na walivo humu

Siku chache zilizopita

Nilitembelea maeneo flani hv katika Harakati zangu za kusaka tonge.

Kitu ambacho kilinifariji ni pale ambapo kwa Mara ya kwanza nilibahatika kumfahamu member mmoja Maarufu sana wa humu JF. Alikuwa akimuelekeza rafiki yake jinsi ya kutumia majukwaa tofauti na maudhui yake. Kwa kuwa ilikuwa ni maeneo ya kupata chakula (MGAHAWANI) Nami nilikuwa pembeni yake, niligundua pale alipotaja ID yake ambayo huwa anatumiaga... Nikajisemea moyoni DAAAH kumbe huyu ndiye yule jamaa?? (

Ila kiukweli
Muonekano wake ni tofauti sana na jinsi zilivyo post zake na huwezi kumdhania. Kwani ni mtu mstaarabu Sana katika maisha ya kawaida.

Jina sitolitaja kwasababu nahisi kama nitakuwa nimemkosea adabu... Ila HONGERA mkuu (Fulani) kwa nyuzi zako nzuri.

Nawasilisha
We ulitaka ukikutana nao uwa onaje? Wembamba,warefu,wafupi,mabonge,wenye pesa au masikini
 
Juzi wakati naenda Dodoma nilikaa siti moja na mzee ana kama miaka 50 or 60, aisee nilishangaa sana kuona yule mzee anatumia Jf.
Nilijaribu kumlia chabo nione Id yake ila alikuwa makini sana anapost huku anaficha simu na kuniangalia usoni...nadhani alikuwa Mshana Jr.
Hapana ni Asprin.

Ana 70 sema anaonekana kama ana 60.
 
Inawezekana aisee...yule mzee alikuwa machachali sana,tena alivyoona namimi nafungua JF akashtuka kabisa na simu akaitia kwenye begi akawa anasubiri namimi nianze ku reply ....

Hahaha... hawa wazee wajanjaa saana.

Alijua utamharibia.

sumbai kaenda wapi! Simwoni kabisa.

Na wewe naona umeonaurudi kwenye uhalisia wako.
 
Wengine hatuja wahi kubahatika kufahamiana wala kukutana na mwana jf yeyote haki.....
Sasa sijui tuna komenti wapi kwenye huu uzi....!!??
 
Humu kuna kila design za walimwengu. Usiombe ukutane na wale mashemeji wanaoishi kwa waume wa dada zao wanalala sebuleni. Huwa wanakuwa na stress balaa. Akiangalia hana kazi na huku anasikia dada yake akigongwa chumbani.
Hao ndio wengi humu ndani, wenye hasira zaidi na wajuzi wa kila jambo maana hukesha wakiangalia marudio ya taarifa za habari usiku mzima huku wakisindikizwa na miguno ya dada akiukatikia.

Daaah!!
 
Mimi kuna siku niliingia kwa jirani nikawakuta na majirani wengine wapo wanaangalia mchezo nikauliza huo mchezo unaitwaje? Mmoja akasema unaitwa nanga, mimi nikasikia kama amesema danga nikasema danga?? Wacha wavunjike mbavu eti da K na wewe unajua danga?? Nikasema hawa wakiona utumbo ninaokomentigi humu si watabisha hadi wapigane
 
Kumbe wewe kibopa da K hufananii na kutaja neno danga?
 
Humu kuna kila design za walimwengu. Usiombe ukutane na wale mashemeji wanaoishi kwa waume wa dada zao wanalala sebuleni. Huwa wanakuwa na stress balaa. Akiangalia hana kazi na huku anasikia dada yake akigongwa chumbani.
Hao ndio wengi humu ndani, wenye hasira zaidi na wajuzi wa kila jambo maana hukesha wakiangalia marudio ya taarifa za habari usiku mzima huku wakisindikizwa na miguno ya dada akiukatikia.
Hahaha mkuu kama unaniona vile nipo hapa sebuleni kwa shem nimetoka kupakua msosi nawaona shem na sister wameingia zao room daah
 
Mbunge na waziri mstaafu mmoja E.M majina yake,toka moja ya jimbo shinyanga.Nilikua na3 harusini alikua busy na Jf sana.
 
Back
Top Bottom