Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 534
- 1,746
Maisha ya Mpumalanga katika Eneo la Bethal mtaa wa Emzinoni ni rahisi sana hasa kwa mlokole South Afrika ukiishi kwa kumpendeza Yesu hautasikia hata mlio wa risasi.
Kwanini nasema hivi kwa sababu Yesu akiwa ndani yako utafanya shughuli halali za kukuingizia kipato watu wengi iwe wazawa au wageni wanao ishi mtaa wa bethal hasa wanao mtumikia Yesu wamekuwa wakiishi maisha ya Amani sana.
Mtu anaweza kukuambia kuishi location kwa mgeni ni hatari sana lakini mimi nasema ni hatari kama humtumikii Yesu nikisema location namaanisha mitaa ya hali ya chini tofauti na downtown kama joburg,Durban NK
Usitishwe na wabongo wa humu jf kwamba kuishi south afrika ni hatari mimi nakuambia ni hatari kama hauna Yesu kama marafiki zako wa south afrika watakuwa walokole utaishi kwa Amani maana mtu anae mtumikia Yesu hata ukiishi Pakistan risasi haitakugusa Ila ukiwa mhalifu na ukachangamana na wahalifu south afrika ni hatari sana kwako.
Pia usisikilize maneno ya kusema watu hatari south afrika ni wabangu bangu, sijui wa khosa, sijui wazulu, sijui warangi rangi ukisikia story hizo ujue huyo mtu anaishi na wahalifu na maisha yake ni ya uhalifu
MSIOGOPE KWENDA SOUTH AFRICA LAKINI NENDA UKIMTUMIKIA YESU MILIO YA RISASI HUTAISIKIA HATA UKIISIKIA HAITAKUWA YAKO JUMAPILI NJEMA