source: TBC1 sijui wanalalamika nini hao hao ndio juzi wamepiga kura kuendeleza ujinga huo!sitaonea mtu huruma kwa lolote lifanyalwo na serikali ya ccm!
Doli ya nyoko ..............Ndo maana unaitwa GIZA..........nyie wehu, sikieni, hicho kilio chenu pelekeni pale magogoni kwa yule jamaa mlomchagua sawa..mimi sijali, nyie mkinunua mfuko milioni, mi nikanunua mahindi milioni 2 sawa tuu..siumii roho kwa sababu nilimchagua slaa lakini mambwiga kama nyie mlomchagua mkwere mkanifanya niseme aah, ok, wengi wape, sitakaa niumie roho kwa lolote baya litakalotokana na serikali hii kwa sababu mimi si mmoja wa aloiweka madarakani, so mtajiju..ikiwezekana mfe woote kabisa ili 2015 tubaki wana mapinduzi tuu..au nchimbi si yuko karibu hapo kwann msimwambie??mnatafuta support ya tanzania nzima eehh..mtajiju, na mtajiju sana..wehu nyie..
Wakuu hivi Mbeya ckuna kiwanda au kilisha fungwa?
jamani kwani kama mnaitakia mema tanzania si mfanye mfuko uwe 2300 kuliko kwa sharti mpaka mpate urais?.......kwani haiwezekani?
na uwezi kumuelewa kabisaaaa! HAELEWEKI!sikuelewi una maana gani?
ayaaaa humu kunawavivu wengi sana wakufikiri, SIJUI MSAIDIWAJE?? kafie mbali huko!Ubongolala hivi hata wewe uliamini Slaa angeshika madaraka cement ingeuzwa shs 5000? hiyo bei ya kununulia ay ya kiwandani? na je kama cement ingekuwa shs 5000 mfuta ya disel na petrol ya kuusafirishia huo mfuko yangekuwa shs 150/= kwa lita? na mchele kilo moja ingekuwa shs 200? au hii ni sawa na ahadi ya kujenga barabara kandokando ya bahari? Umepewa akili fikiria kaka.
Uliza UGANDA M7 elimu bure atatoa!Hakuna lisilowezekana hapa duniani wewe sokomoko. Kama viongozi waliopo kwenye madaraka wanaona hawezi basi waondoke wapishe wengine wanaoweza. Sio kung'ang'ania tu madaraka wakati hawana uwezo wa kuleta mabadiliko kwenye maisha ya wananchi.
Mbeya cement ipo hai kabisaa ila ndo hivyo hata hapo Mbeya Cement ipo juuu sijui huwawanasema usafirishaji upiii!???Wakuu hivi Mbeya ckuna kiwanda au kilisha fungwa?
Hivi Mbeya Cement iko hai kweli?
Doli ya nyoko ..............Ndo maana unaitwa GIZA..........
Tatizo lako unadhani issue ni cement pekeee............... unasahau kuwa petroli nayo bei juu............... na wewe utanunua mahindi kwa bei juuuuuu juuuu ju zaidiiiiiiiii. Na hiyo cement tutainunua kwa bei ya juu baada ya kukuuzia mahindi wewe kwa bei ya juu............ kifupi utatubebea bei ya cement kupitia mahindi................ongea kikwenu vyovyote utakavyoweza, doli ya nyoko na wewe pia..ila haya yoote hayawezi shusha bei ya cement huko kwenu, mtakaa kwenye nyumba za nyasi mpaka mfe wehu nyie..na mtaisoma mpaka miaka mitano iishe mtakuwa either mmekufa wote au mtakaobakia mtakuwa mmenyooka na kuamua mabadiliko...doli ya nyoko
Tatizo lako unadhani issue ni cement pekeee............... unasahau kuwa petroli nayo bei juu............... na wewe utanunua mahindi kwa bei juuuuuu juuuu ju zaidiiiiiiiii. Na hiyo cement tutainunua kwa bei ya juu baada ya kukuuzia mahindi wewe kwa bei ya juu............ kifupi utatubebea bei ya cement kupitia mahindi................
Kweli nyani haoni kunduleeee................ yaani wewe kununua mahindi milioni mbili unaona sawa kwa vile uwezo unao........????? nA HAO WASIO NA UWEZO HUO NA WALIMCHAGUA Dr. Slaa wafanye nini..........???? SHAME ON YOU, SIMPLY BECAUSE YOU CAN....THEN YOU LET OTHER TO SUFFER....... FAKE MWANAMAPINDUZI...............Unadhani huko Songea hakuna wenye uwezo wa kununua cement kwa bei hiyo........???? Tatizo wenye mawazo kama yako huwa wanatanguliza maslahi binafsi MBELE ........ndiyo maana UNATHUBUTU KUSEMA UWEZO UNAO...........FAKE MWANAMAPINDUZI..................petrol najaza buku mia saba saivi, na silalamiki, ndo maana nikakwambia hata nikinunua mahindi milioni 2 sijali maadamu uwezo huo ninao..sasa nyie wa mfalanyako mlompigia mkwere na nchimbi kura hata mwezi haujaisha mnaanza mfuko wa cement umepanda mnamwambia nani?? kufeni taratibu na nyumba zenu za majani, si mliyataka?? mliambiwa mkimchagua slaa cement inakuwa buku tano, mkaona porojo, mara oohh haiwezekani sasa kama mlijua mfuko wa cement kuwa buku 5 haiwezekani then mnauziwa buku 20 mnalalamika nn?? ndo maana nawaita wehu woote, nimekwambia kuwa mtakufa wooote come 2015 tumebaki wana mapinduzi tuu au lah kwa wachache mtakaokuwepo 2015 wa huko songea mtakuwa mmenyooka..maake kukaa nyumba ya majani aka zote hizo si mchezo..mambo ndo kwaanza yameanza..subirini kesho mtasikia mkate buku 5 then mtaacha kunywa chai....kiama chenu kimefika wehu wote mlochagua ccm..na baado!!