Maisha BORA: Songea mfuko wa cement sh 20, 000 per bag!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,508
11,890
source: TBC1 sijui wanalalamika nini hao hao ndio juzi wamepiga kura kuendeleza ujinga huo!sitaonea mtu huruma kwa lolote lifanyalwo na serikali ya ccm!
 
source: TBC1 sijui wanalalamika nini hao hao ndio juzi wamepiga kura kuendeleza ujinga huo!sitaonea mtu huruma kwa lolote lifanyalwo na serikali ya ccm!

Mkuu usiwalaumu sana watu wa Songea kwani huenda walimpa Dr. Slaa kura zao ila zimeibiwa na usalama wa taifa na kupewa Kikwete. Ingekuwa ukanda wa pwani uliopiga kura kwa manufaa ya kidini bila kujali maendeleo hapo ningekuelewa zaidi.
 
Na majimbo yote 7 yalienda kwa CCM
Wabunge wateule pls work on that kama mna taarifa.
No wonder wote wako DSM wakila bata
Maumivu ya kichwa huanza pole poleeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Uchumi na maendeleo! Ni ndoto kwa Songea kuendelea kwasasa kwa kweli. Inasikitisha kuona maendeleoya songea yamesimama, miundo mbinu yake ni tangu enzi za nyerere hakuna jipya lililofanyika. Songea ya zamani ilipendeza kuliko hii ya sasa. Mshukuruni Nyerere kwa kuwajengea barabara ya kufika huko miaka ya 80.
 
JAMANI KWANI KAMA MNAITAKIA MEMA TANZANIA SI MFANYE MFUKO UWE 2300 KULIKO KWA SHARTI MPAKA MPATE URAIS?.......kwani haiwezekani?
 
Watu wa songea walimpigia kura nyingi sana dr slaa..na ni miongoni mwa majimbo ambayo slaa alipata kura nyingi
 
Na bado Chenge hajawa Spika, Lowassa Waziri mkuu, wakipate mpaka 2015 akili itakuwa imekaa sawa
 
source: TBC1 sijui wanalalamika nini hao hao ndio juzi wamepiga kura kuendeleza ujinga huo!sitaonea mtu huruma kwa lolote lifanyalwo na serikali ya ccm!

mkuu usiwalaumu, imnawezekana kabisa walimchagua Dr Slaa, ila NEC walimchagua JK
 
mkuu usiwalaumu, imnawezekana kabisa walimchagua Dr Slaa, ila NEC walimchagua JK

Lakini kuna mikoa mengine ilikuwa inatia kichefuchefu mfano Pwani na Tanga watu maskini kufa mtu ukimuuliza mtu kwani ulimchagua JK anakuambia eti ni muislamu. Ukimtazama yeye nguo amevaa imetoboka halafu anakuomba buku aende akale yeye na familia yake. Sasa kweli unaweza kusema hawa wasilaumiwe. Wacha tu wapigike mkate ufikie Tshs 10,000,000, nauli 1,000,000 ndio akili za watanzania zitakaa sawa....
 
Kuna habari za jikoni nilizipata kutoa songea kwamba kamati ya ulinzi na usalama ilikaa na jamaa wa usalama wa taifa wakawa wanashurutisha Slaa akamatwe kwa sababu atakuwa amewashawishi wafanya biashara kupandisha bidhaa hiyo adimu.
Ninashangaa mpaka sasa hawajaishu summons ya kumkamata. Najua dhamira imewasuta.

Bei itapanda sana na hakuna wa kuzuia hilo kwani ccm waliwakamua wafanyabiashara waichangie na wazee wa uchakachuaji wakapandisha bei ya mafuta kujiweka sawa kiuchumi. na tegemeeni hata madafu kupanda bei. kisa mtikisiko wa uchumi ulioletwa na uchaguzi mkuu.
 
Kuhusu uspika hakuna wa kuwazuia.
nadhani waliolazimisha ccm kukaa madarakani wanafurahia hii hali na waliipanga kabla ili kunyonga demokrasia.

Hongereni UwT kwa uthubutu wenu
 
Leo ,pia kupitia Redio one nimesikia wakinamama wa Morogoro wakilalamikia maisha kuwa magumu - hiyo ndio hali halisi - zile elfu 5,000 zimekwisha. Wauze T-shirt, khanga na kofia angalu itawasukuma kwa muda wakisubiri spika mpya kuapisha
 
Mkuu usiwalaumu sana watu wa Songea kwani huenda walimpa Dr. Slaa kura zao ila zimeibiwa na usalama wa taifa na kupewa Kikwete. Ingekuwa ukanda wa pwani uliopiga kura kwa manufaa ya kidini bila kujali maendeleo hapo ningekuelewa zaidi.

wangekomaa tu, mbona ubungo tulikomaa na Mnyika wetu na kikaeleweka? rushwa ndogondogo ziliwapofusha macho. waache wajute kwa ujinga wao.
 
Back
Top Bottom