Lakini pia mkumbuke mumeambiwa muitafute elimu, sio msubirie mletewe mumeambiwa muitafute elimu hata mpaka Chinaapo umenishawishi kukuelewa, kwaio inamaana kwamba wale hambao hawakupata habari zake hawata hukumiwa??
Yeah sure....ukifungua akili to the maximum point utajua tu haya yote yaliyopo chini ya jua kuna creator hayajakuja hivihivi lazima kuna sourcekuvuka mind bridge inamaana anafungua ubongo kusense uwepo wa vile zaidi ya 5 sense organ inavyo weza detect hivyo basi Watambuao uwepo wa mungu Ni wenyeakili kwa sababu wanasense (uwepo Na nguvu za mungu)zilizopo beyond their senses (ghaib)
Kwa iyo mkuu ni Mungu yupi atakaetoa hukumu
(A)Mungu anayeabudiwa na wakristo
(B)" " " " na waislam
(C)" " " " na ( wahindu, wachina n.k)
Yupi atakayetoa HUKUMU siku ya MWISHO???
Umeongea point inakuwaje mtu aamini Majini Mashetani Mizimu ambavyo havionekani alafu hapohapo unakataa uwepo wa MunguTatizo ni Moja tuu..watu wanaonekana primitive sana wakizungumzia kuhusu kuamini uwepo wa mungu..Na mambo yapo wazi.
Mtuu anaamini uwepo wa viumbe visivyoonekana (majini) lakini haamini uwepo wa mungu asieonekana ambae kaumba visivyoonekana
sikuizi kuitafuta elimu sio hadi usafili.. mimi adi kuleta hii mada huku inamaanisha naitafuta elimu na nimepata mawazo mengi tuLakini pia mkumbuke mumeambiwa muitafute elimu, sio msubirie mletewe mumeambiwa muitafute elimu hata mpaka China
bro kumbuka Mungu aliwapa elimu mitume na manabii na kuwatuma ili waje watufundishe na kumjua yeye (Mungu)Mungu huwezi kumuuliza kwanini,kwakua yeye ndio alioumba yote,anafanya alitakalo so,muacheni apumzike anawaangalia tu mnavyo bishana
Karbuni kweli na ndio maana nimeanza kujiingiza kwenye mambo ya kiroho
Huku utajua.kuwasante
Kifo........fumbo la imani.habari zenu
nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid
NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana
1:kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye dhambi wanakwenda motoni na wasio na dhambi wanakwenda mbinguni
swali: mababu zetu waliokufa zamani kabla dini hazijaja na hawakuwa na mafunzo yoyote kuhusu Mungu tunaemwabudu je wao watahukumiwa au lah??
2: dini zetu zinatuimanisha kuwa Mungu wetu anauwezo mkubwa kiasi kwamba anatufahamu sisi kabla hatujazaliwa, maisha yetu na hata kufa kwetu,
swali: kwa uwezo alionao Mungu wetu ni dhahiri kuwa anajua yupi atakwenda motoni na yupi ni wambinguni kama ndio ivo kwanini kuwepo na hukumu?? na kama hajui yupi atakwenda motoni na yupi atakwenda mbinguni inamaana Mungu wetu ni dhaifu kiasi kwamba kunavitu havijui??
maswali bado ni mengi ila nimeamua kuuliza kwanza machache ili nisje changanya wanaojibu
Ufumbuzi wa fumbo uko katika Imani yako mkuu.......Tungekuwa tunajua nini hufuata baada ya kifo Imani yetu ingekuwa ime rahisishwa sana.ilo fumbo halifumbuliwi??
Naomba kuuliza: hivi kabla ya Anikajema hajazaliwa, je Mungu anatambua kuwa huyu Anikajema atakuwa na tabia fulani au ataishi maisha fulani ambayo mwisho wa siku atakufa akiwa mtu wa motoni au wa peponi?Huku utajua.kuw
Mungu Ni Roho
Dhambi Ni mtihani .
Mungu anajua mwisho wa muovu na mwisho wa mwema
Na vingi to
Sikiliza kidogo hii 'unaweza pata kitu' kuhusu roho;once a soul is created and formed,it can not be destroyed but it is transformed from one parallel universe to another
Mkuu lifecoded
Kitu kikitengenezwa c kinaweza kuharibiwa?
Unless labda unambie kabla haijawa soul, kabla inakuwaje au inaitwaje?
Yaani imetoka ktk form gani
Ko inakuwa katika wa muendelezo wa transformation
Hivi .....something > soul( hapa mtu akiwa hai) >... state ingine ( baada ya mtu kufa)