Dili la aira portal kak halitiki ndani ya miaka hii miwili. Unataka amini, hutaki amini. Kama kuna dili lingine unasubiri useme nikuombee kwa mungu leo usiku mana mm mwenyewe madili hayaendi lqkin hela ya kula napata na hela ya kununua mbususu napatq. Elfu 20 kwq siku alhamdulilah! Japo unguja sio hela kabisaJFs Members uzima upo?
Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja.
Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha
Hii naongelea experience yangu
Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu
Sasa baada ya miezi kupita mianya yote inakata ya kupata pesa, walewaliokuwa wanakupush mara moja ukiwa chuo hawajibu jumbe wala kupokea simu zako baada ya kujua we ni jobless
Boom halipo tena, una apply kazi majibu negative, unashinda ndani siku mzima huna kazi inayokuhitaji ukafanye nje
Unaishi kwa matumaini ipo siku nami nitatoboa tu,
Ila hali inatisha jamani mtaani
Unaishi kwa kupiga long dash, nimekondeana kwa mawazo sijui nakula nini kesho, unaangalia dari tu.
Wakuu ukipata nafasi ya kumsaidia mtu hasa kijana ambae Hana msaada yupo mtaani we msaidie tu. Waliopitia hii hali wanaelewa.
Hapa mfukoni ipo buku jero, kodi imeisha unampiga chenga faza wa nyumba huku ukisubiri mishe zitiki lakini wapi. Unaweza hata kukufuru kwa Mungu kwanini alikuumba uteseke hivi huku wenzio wanamaisha safi huko nje.
Member atakaye guswa nipush siku huku ukisubiri ajira portal iteme asiache kunishika mkono, nitamuombea kwa Mola.
Ahsante sana mkuu umenisanuaDili la aira portal kak halitiki ndani ya miaka hii miwili. Unataka amini, hutaki amini. Kama kuna dili lingine unasubiri useme nikuombee kwa mungu leo usiku mana mm mwenyewe madili hayaendi lqkin hela ya kula napata na hela ya kununua mbususu napatq. Elfu 20 kwq siku alhamdulilah! Japo unguja sio hela kabisa
Ninamshirikisha Mungu kwenye mipango yangu ila mambo yote yanaenda sivyo hadi ninajiona labda nina nuksiKikubwa ni kumuomba mungu na kuendelea kutafuta bila kukataa tamaa graduates wengi wanasugua benchi zaidi ya miaka 5 hadi 10 ndio wanakuja kujipata sio wewe pekee yako
Noma sana!JFs Members uzima upo?
Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja.
Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha
Hii naongelea experience yangu
Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu
Sasa baada ya miezi kupita mianya yote inakata ya kupata pesa, walewaliokuwa wanakupush mara moja ukiwa chuo hawajibu jumbe wala kupokea simu zako baada ya kujua we ni jobless
Boom halipo tena, una apply kazi majibu negative, unashinda ndani siku mzima huna kazi inayokuhitaji ukafanye nje
Unaishi kwa matumaini ipo siku nami nitatoboa tu,
Ila hali inatisha jamani mtaani
Unaishi kwa kupiga long dash, nimekondeana kwa mawazo sijui nakula nini kesho, unaangalia dari tu.
Wakuu ukipata nafasi ya kumsaidia mtu hasa kijana ambae Hana msaada yupo mtaani we msaidie tu. Waliopitia hii hali wanaelewa.
Hapa mfukoni ipo buku jero, kodi imeisha unampiga chenga faza wa nyumba huku ukisubiri mishe zitiki lakini wapi. Unaweza hata kukufuru kwa Mungu kwanini alikuumba uteseke hivi huku wenzio wanamaisha safi huko nje.
Member atakaye guswa nipush siku huku ukisubiri ajira portal iteme asiache kunishika mkono, nitamuombea kwa Mola.
Mungu kama unamkumbuka mkuu bado hujapigwa vizuri. Mn niimtafutaga mpaka mfukoni na kwemye waleti nikasahau kama mungu yuko mbinguni. Ila nakusanua mzee bara sio nchi ya kukaa, inanuka njaq na umimiNinamshirikisha Mungu kwenye mipango yangu ila mambo yote yanaenda sivyo hadi ninajiona labda nina nuksi
Nashukuru kunitia moyo mkuu wangu 🙏
Nakuelewa mkuu. Upo sahihiMungu kama unamkumbuka mkuu bado hujapigwa vizuri. Mn niimtafutaga mpaka mfukoni na kwemye waleti nikasahau kama mungu yuko mbinguni. Ila nakusanua mzee bara sio nchi ya kukaa, inanuka njaq na umimi
Duuh hii kaliMkuu yani wewe umekaaa mwaka mmoja nyumbani ushaanza piga yowe!!
Sisi tupo mtaani mwaka wa 5 huu hata ajira hatuzijui tena..!
Njoo huku kijijini Chitoholi tuendeshe boda bodaa pia tuna fursa ya kula wake za watu mkuu!!
Habari za Mungu ni kujipa matumaini hewa.Mungu kama unamkumbuka mkuu bado hujapigwa vizuri. Mn niimtafutaga mpaka mfukoni na kwemye waleti nikasahau kama mungu yuko mbinguni. Ila nakusanua mzee bara sio nchi ya kukaa, inanuka njaq na umimi
Huo ni uthibitisho tosha kwamba Mungu hayupo.Ninamshirikisha Mungu kwenye mipango yangu ila mambo yote yanaenda sivyo hadi ninajiona labda nina nuksi
Nashukuru kunitia moyo mkuu wangu 🙏
Nimekuelewa mkuu shukrani sana kwa ushauriUsichague kazi, kama ni halali na haikuumizi kiafya pita nayo...Msemo wa "Boys to Men" si wa kutania, hapo ulipo ndio kwanza vipimo vya maisha vinaanza, usikubali kukaa bila kazi, shusha mabega chini, be humble, acha ego ya vyeti, Naamini utatoboa...Hata Sisi tulikuwa kama wewe japo Hali na mazingira ni tofauti.
Nashawishika kuamini hiliElimu ya vyuo vikuu barani Afrika ni Utapeli.
Haki ya mungub walahi, mungu hayupoHabari za Mungu ni kujipa matumaini hewa.
Hakuna Mungu.
Ngoja nicheki mabos wanasemaje Madwari Madwari @niachie mm na TUKANA UONEWakuu naendelea kupata ushauri, ni mzuri
Naomba pia mnipige tafu sina kitu mfukoni hali inatisha uhakika wa kula haupo nimeona nije humu 🙏