Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
Habari zenu wakuu,
Huko Instagram kumenuka baada ya Maimatha kushushiwa shombo za samaki na kujikuta yuko feli akivua samaki kutokana na matusi yaliyompelekea kufuta kila post iliyokua ikiashiria kumponda Wema.