Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .
IMG-20200328-WA0062.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kawaha na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe bana, amalize tu muhula wake mmoja akapumzike
 
Back
Top Bottom