andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,709
- 119,605
Luckyline,taratibu mamaangu. Miaka 9 aliyoishi na huyo kijana ni mingi sana,kumfuta kimahusiano ni ngumu sana.Aiseee haya mapenzi mimi mbona sina? Yaani amekugeuza chuma ulete wewe ndo mtoa pesa? Uko nae miaka 9? Wewe umerogwa sio bure, mpuuzi anaishi kwao miaka hiyo yote?
Kweli kuna wanawake mnapenda kiboya sana.mimi mwanaume ambae hatowi chochote kwangu siwezi mvumilia zaidi ya miezi 3.
Tutarajie mrejesho "ahsante wanajukwa kwa ushauri mlionipa,baby boy amebadilika maisha yetu ni pambeee"