Mahusiano yanataka kuniumiza akili

Mahusiano yanataka kuniumiza akili

You are welcome to share anything with us, opening up heals in many ways.

Kudos for kicking out that man, it was just about time.

And you aint nobody's Mama. Let him go get baby sitted elsewhere maybe he will grow some balls.

In the meantime, get over him.... save your money and start a side hustle. A little cash put away is a woman best insurance for a rainy day.😉😉
 
Habari humu ndani?
Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha jf. Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.
Ulifuatilia malezi aliyolelewa tangu utotoni?. Je,kwao yeye ndiye mtoto pendwa zaidi?. Je,yeye ni wangapi kuzaliwa?
 
Umekimbia mwanaume ambaye Hana akili ya maisha lakini ana mapenzi ,unakutana na mwanume mwenye akili ya maisha lakini ni hit and run ,Hana muda na wanawake Wala mapenzi ......

Huwezi pata mwanaume mkamilifu hii dunia ...

Unachofanya unakimbia tatizo tu ,
Anaweza pia akampata mwenye sifa zote muhimu anazozihitaji. Yote yanawezekana.
 
Ulidate handsome boy miaka 9 bila dalili za ndoa, maisha ya kujitegemea wala future. Ulikuwa hopeless, huna akili, unajipendeza kwake na hana mpango na wewe. Hapo anakubembeleza uendelee kumtunza mtoto mzuri huyo.

Acha upuuzi tumia akili
 
Aiseee haya mapenzi mimi mbona sina? Yaani amekugeuza chuma ulete wewe ndo mtoa pesa? Uko nae miaka 9? Wewe umerogwa sio bure, mpuuzi anaishi kwao miaka hiyo yote?

Kweli kuna wanawake mnapenda kiboya sana.mimi mwanaume ambae hatowi chochote kwangu siwezi mvumilia zaidi ya miezi 3.
Ushauri mzuri but no hard feelings tumesikia upande mmoja wa pili je......
 
Mimi sioni cha kukushauri zaidi ya kukupa pole. Umefanya maamuzi sahihi. Kuna men & boys. Umri sio kigezo ila upevukaj katika maisha. Wapo vijana 20 years ila ni men na wapo wanaume wapo 30yrs ila n boys. Wew ulikuw unadate mtoto.

Muhimu umefunguka. Jiendeleze wala usikurupuke. Jipe mda. Umia kama unaumia coz ni sehemu ya kupona jeraha. Jipe mda narudia jipe mda!Usifanye vtu kuonekana umemove on haraka au huna time naye... tuliza akili lia kama unalia sku nzma maana hatujui mlipendana nn na siri ya wawili hubaki kwa wawili.

Jipe mda. Akitokea mtu anakutaka angalia vigezo unavyotaka ndan ya mda. Yaani kwa sasa fungia yako na utos kila kitu kitachofany muwe na contact na jamaa...

If you keep doing the same things don't expect different results. Ukiendelea kufanya mambo unavyoyafany kila siku ustegemee matokeo tofauti
 
Kesi ya upande mmoja hii.

Kwanza kukaa na mtu miaka 9 yote basi kuna kitu wewe huwa unapata kwake mpaka we unampa doh ye anakugea iko kitu.
Kwani hiyo miaka yote mlokua pamoja hukuwahi kugundua hizo tabia zake??
Na vipi kama asingerudiana na ex wake, mngeendelea kua pamoja??

Wadau hapa naona wanasema sababu ni umarioo wa jamaa ila mi nahisi sababu ni wivu wako kwakua jamaa karudiana na ex wake!! Pole sana ila umri umeenda bibie chukua kale kamchepuko kako kafanye njia kuu maisha yasonge.
 
Habari humu ndani?
Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha jf. Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.
Ipo hivi, nimekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 9 na huyu mwenzangu. Tulianza mahusiano tukiwa chuo kikuu.
Dah kweli mapenzi nyoko dada na elimu yako na vijisenti vyako unapoteza nine good years na mwanaume ambaye hana mbele wala nyuma kama mche wa sabuni.

Ebu tafuta kidume wa maana bwana lazima kuna njemba zinakutomgoza acha na fala huyo hajielewi
 
Habari humu ndani?

Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF

Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.
Sasa unataka ushauri au nin mdada,kua na msimamo kwenye maamuz, umri huo hutakiwi kuyumba kimsimamo
 
Wee mwanamke ni mbinafsi tu kwa kuwa jamaa umemzidi kipato leo hii unamwona ana tabia za ajabu mbona wakati mko chuo mmepigika hukuona tabia zake za ajabu,leo umepata kazi yenye mshahara mkubwa kuliko mwenzako unajifanya eti jamaa hana future ,wanawake mkishakua na viajira vyenu na vimishahara mnataka kuvimba na kuwaona wanaume mliotoka mbali hawafai tena. Amerudi kwa Ex wake kwa kuwa ameshakuona una gubu na unataka umtawale kwa hivyo visenti vyako vya dagaa.
 
wanaume walishaishaga enzi za baba yako hawa wasasa ni wavulana wa inst , messi , salah , nakubet. fanya maisha. maadam hakupokelei mshahara na kukupangia. ikiwa wewe umeshashtuka kuna kujiendeleza kipesa. fanya uwezavyo.
 
Back
Top Bottom