The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
- Thread starter
-
- #41
Mkuu siongei kwa ubaya. Ila huyu jamaa tumepitia mambo mengi sana kuliko hata nilivyoandika. Naona kuna mdau Watu8 ametoa mada na inamuhusu yeye.Kesi ya upande mmoja hii.
Kwanza kukaa na mtu miaka 9 yote basi kuna kitu wewe huwa unapata kwake mpaka we unampa doh ye anakugea iko kitu.
Kwani hiyo miaka yote mlokua pamoja hukuwahi kugundua hizo tabia zake??
Na vipi kama asingerudiana na ex wake, mngeendelea kua pamoja??
Wadau hapa naona wanasema sababu ni umarioo wa jamaa ila mi nahisi sababu ni wivu wako kwakua jamaa karudiana na ex wake!! Pole sana ila umri umeenda bibie chukua kale kamchepuko kako kafanye njia kuu maisha yasonge.
Kabla sijasoma comment za wengine kwangu binafsi naweza kukushauri fanya haraka! sielewi siku hizi wazazi tunaleaje vijana miaka zaidi ya 35 kijana wa kiume hajatoka nyumbani? kweli ? anafurahi kuwa tegemezi! kama humu ndani bado tunalea watoto wetu kwa hali hiyo kwa tangazo hili nawaomba WATIMUENI vinginevyo mnaharibu maisha ya watoto wenu.Habari humu ndani?
Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF
Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.
This is what l wanted to share with you JF family.
Na Bado uko nae tu? Wewe inabidi uingie kwenye kitabu Cha Kumbukumbu Cha Dunia, na Wazazi wako unawajali kama unavyomjali?Mkuu siongei kwa ubaya. Ila huyu jamaa tumepitia mambo mengi sana kuliko hata nilivyoandika. Naona kuna mdau Watu8 ametoa
Itakuwa jamaa alikuwa anajua kumgegeda vizuri ndio maana kavumilia miaka tisaNa Bado uko nae tu? Wewe inabidi uingie kwenye kitabu Cha Kumbukumbu Cha Dunia, na Wazazi wako unawajali kama unavyomjali?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]eti tikati ya ndege izi drama izi hii chai kamba hii...Aiseee haya mapenzi mimi mbona sina? Yaani amekugeuza chuma ulete wewe ndo mtoa pesa? Uko nae miaka 9? Wewe umerogwa sio bure, mpuuzi anaishi kwao miaka hiyo yote?
Hapo zimetolewa mimba sio chini ya nne.Miaka 9 hamna hata mtoto mmoja? Fanya akupe mtoto kwanza akil itatulia
Unapokosea ni kutaka mtu ujenge nae maisha. Mkuu pole kwa maswahibu na maadam umekiri kua sio wivu unaokuendesha basi achana na hiyo ya kutaka mtu mfanye nae maisha.Mkuu siongei kwa ubaya. Ila huyu jamaa tumepitia mambo mengi sana kuliko hata nilivyoandika. Naona kuna mdau Watu8 ametoa mada na inamuhusu yeye.
So mimi nina mapungufu yangu ila hata ukimuuliza yeye, anajua nilivojitoa kwake. Suala la usaliti lilishajokeza hadi naona kawaida. Hata akienda kwa hao
Inshort ni kwamba your matured,ushauri wangu ni play your cards well n hit the jackpot hii mambo ya kudate 9years with no future waachie kindagarten mamiMkuu siongei kwa ubaya. Ila huyu jamaa tumepitia mambo mengi sana kuliko hata nilivyoandika. Naona kuna mdau Watu8 ametoa mada na inamuhusu yeye.
So mimi nina mapungufu yangu ila hata ukimuuliza yeye, anajua nilivojitoa kwake. Suala la usaliti lilishajokeza hadi naona kawaida. Hata akienda kwa hao
Ila hafai bhana, hata kama ni anakimbia tatizo,,mimi bora niwe na huyo ambae hana mapenzi ila anajielewa,,,,hahahha i mean atatunza familia yake ,,mimi na watoto wangu,,unajua wanawake hatujazoea ile kumhudumia mwanaume,,ni kazi sana mkuu asikuambie mtu aiseeUmekimbia mwanaume ambaye Hana akili ya maisha lakini ana mapenzi, unakutana na mwanume mwenye akili ya maisha lakini ni hit and run, Hana muda na wanawake Wala mapenzi ......
Huwezi pata mwanaume mkamilifu hii dunia ...
Unachofanya unakimbia tatizo tu , [emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo mimi nimemuelewa sana tu, yaani unamvumilia mtu na matatizo yake halafu anarudiana tena na x wake utasubiria nini sasa hapo? ni vile tu mtu kutaka kutoa la moyoni ila mimi hapo nasepa tu bila kuuliza mtu yeyote,,ni vzr kama alivyosema JF ni sehemu ya kutoa stress unapata mawazo na inapunguza stressKesi ya upande mmoja hii.
Kwanza kukaa na mtu miaka 9 yote basi kuna kitu wewe huwa unapata kwake mpaka we unampa doh ye anakugea iko kitu.
Kwani hiyo miaka yote mlokua pamoja hukuwahi kugundua hizo tabia zake??
Na vipi kama asingerudiana na ex wake, mngeendelea kua pamoja??
Wadau hapa naona wanasema sababu ni umarioo wa jamaa ila mi nahisi sababu ni wivu wako kwakua jamaa karudiana na ex wake!! Pole sana ila umri umeenda bibie chukua kale kamchepuko kako kafanye njia kuu maisha yasonge.
Hivi mkuu umewahi kukutana na mwanamke ambaye anakuthamini na ukiwa mkweli mkafanya maisha pamoja? Ni mimi. Ila mwanaume sawa anapokea kidogo basi kwa hicho kidogo chako nunua hata unga. Hakuna. Vocha ya buku nilimuomba tangu hatujakorofishana hadi sasa haijafika. Kweli hayo mahusiano upo na mwanaume?Wee mwanamke ni mbinafsi tu kwa kuwa jamaa umemzidi kipato leo hii unamwona ana tabia za ajabu mbona wakati mko chuo mmepigika hukuona tabia zake za ajabu,leo umepata kazi yenye mshahara mkubwa kuliko mwenzako unajifanya eti jamaa hana future ,wanawake mkishakua na viajira vyenu na vimishahara mnataka kuvimba na kuwaona wanaume mliotoka mbali hawafai tena. Amerudi kwa Ex wake kwa kuwa ameshakuona una gubu na unataka umtawale kwa hivyo visenti vyako vya dagaa.
Wewe unanijuwa? Mimi mwenyewe nina uwezo wa kujilipia kwa taarifa yako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]eti tikati ya ndege izi drama izi hii chai kamba hii...
Mkuu hilo suala la kurudiana na ex najua sababu nimepunguza mapenzi. Upendo wangu kwake umeshuka sana. Ni mtu ambaye nikijisikia kurudiana naye its just after masaa matatu naweza kudate naye. So hiko sio kitu kinachoniumiza. Najua anafanya hivyo sababu l told him tuachane. So lazima atafute mtu wa kumkeep busy. Ishu ni kwamba sioni muelekeo yeye akiwa kama kiongozi wa familia tunayotaka kuanzishahapo mimi nimemuelewa sana tu, yaani unamvumilia mtu na matatizo yake halafu anarudiana tena na x wake utasubiria nini sasa hapo? ni vile tu mtu kutaka kutoa la moyoni ila mimi hapo nasepa tu bila kuuliza mtu yeyote,,ni vzr kama alivyosema JF ni sehemu ya kutoa stress unapata mawazo na inapunguza stress
as for me namshauri achukue time yake tu na ajipe muda kuingia katika mahusiano mengine.
TIME heals, usiangalie umri ukupe stress.
😂😂😂😂nyamaza nisikuchape viboko, ati nikavibrate? KwendraaHujapata wakukugegeda vizuri mpaka mapaja yanabibrate🤣🤣🤣🤣
Eeh mbususu inapelekewa moto mpaka mapaja yavibrate huku ukiwa kama unakata pumzi😂😂😂😂nyamaza nisikuchape viboko, ati nikavibrate? Kwendraa