Mahusiano yanataka kuniumiza akili

Kama hataki kuchukua vitu vyake vipeleke kwao inaonekana wewe unahitaji aje kukuona na kurudiana na X wake inakuumiza kama Una Nia ya dhati kabisa kurudisha vitu vyake vipeleke kwao na apo unapokaa kama unaweza ama Anza ukurasa mwingine WA wamaisha amua Kwa dhati kuanza maisha yako na mwingine au peke yako usipokuwa makini atakufanya mchepuko wake na kukudanganya Yule X wake kamuacha
 
Uwe mentor wangu tu aisee [emoji1]. maana naona nazingua
 
Na wewe mwanaume kwa nn unagegeda kabla hujaoa??
 
mh!!! mtoto wa kike30+ mpaka leo hujaolewa tuu, unahangaika na mapenzi!!!!!!???? tena unakazi yako kabisa!!!!!. olewa tuu, ufanye mambo mengine umri huo umeenda, kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya mapenzi.

Na ukizubaa utajikuta ushakuwa kajibibi, ukose hata mwendesha bodaboda. Shauri zako.
 
Kikao kipya kimeamua mbususu iliwe baada ya ndoa...other than that ni umalaya tu WADADA MMESIKIA ?
 
"Mambo kama hayaendi achana nayo, nenda mwenyewe"
 
Kikao kipya kimeamua mbususu iliwe baada ya ndoa...other than that ni umalaya tu WADADA NMESIKIA ?
na pia usikubali mke wako akuzidi kipato wala usioe mwanamke aliyekuzidi kipato. Vinginevyo jiandae kisaikolojia. Jiandae kupika, jiandae kumfulia chupi na nguo, jiandae kuletewa mabwana zake ndani huku akikuita mkagongwe wote, jiandae kuitwa mwanamke, jiandae kunyimwa mbususu.

Oa mwanamke unaye mzidi kipato mbali sana, ikiwezekana awe anakuomba hadi pesa ya sukari, pedi, sabuni, hapo hata ukikoroma lazma ashuke chini na kuwa mtiifu na mnyenyekevu
 
Let him go get baby sitted elsewhere maybe he will grow some balls.
We mwanamke, Balls unataka zi-grow ziende wapi, ziwe kama mayai au.??

Life is not that serious.. Wakati ukifika ataweka mambo yake sawa... Yanini akaze msuli wakati upaja wake mdogo.
 
Yaani buku la mpira ndio limeleta yote haya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hela ya demu chungu mzee yani demu ka huna kitu suala la mda tu anakuchenjia...

Mana life sometimes linagoma unaeza kuwa mwanaume una fight ila tu kimavi dazani hutusui so bada ya mda demu anaona unamuwangia tu ukute na mtaji alishawahi kukupa mara kadhaa mambo yakabuma naturally kama zinavobuma biashara zingine ila demu akishachoka ili apate justification lazma uonekane ulikua hupambani umekaa tu unakunywa k vant....

NB : Ka mwanaume huna hela achana na mapenzi tu kazana utafute hela na ka tyr upo kwny uhusiano na demu kakuzidi hela hesabu siku tu lazma kinuke
 
Yaani buku la mpira ndio limeleta yote haya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo ndio mwanamke mkuu!

Hapo yeye unakuta anaweza kuwa anakulilia shida maisha yoteπŸ˜… na wadogo zake unawa support.
 
Wanawake hela zenu chungu sanaa,... mwanaume anaweza kukaa na mwanamke asiye na kazi hata lyf tym ila nyie kidogo tuu hana future...ulimpendea nn?
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hela
 
Hapa nimekuelewa Sasa, pole. Sorry, naweza kuja PM yako mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…