Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

Tafuta hela maharage hayamalizi gas.
 
Kuna kipindi unakuwa na Wachumba wengi hadi unatamani wakufumanie wakuache.
Ili uanze upya.

Wapenzi 6 ni wengi sana.
Na bado hao wanawake zako 6 wana wapenz wao wawili wawili nje kwa kila mmoja.
Kwahiyo kwa kifupi kwa idadi ndogo hapo mko kwenye mzunguko wa wanaume karibia 20.

Na kama kuna hapo katika wanawake kuna muhudumu wa bar. Basi hesabia Mnashare wanaume 30 .
 
Hii hatari sana, hii inaashiria wanaume tupo wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…