Mahusiano ya mitandao ya kijamii

Mahusiano ya mitandao ya kijamii

Ndugu zangu ,, Binti ni Mzuri sana,,,ananikubali sana harafu ni wa kijijini huko...kiufupi naona ananifaa kabisa,,,,

Harafu nilichompendea...kaniweka wazi kila kitu
 
Ndugu zangu ,, Binti ni Mzuri sana,,,ananikubali sana harafu ni wa kijijini huko...kiufupi naona ananifaa kabisa,,,,

Harafu nilichompendea...kaniweka wazi kila kitu
Huwezi kushaurika, fanya maamuzi uliyonayo kichwani
 
Hiyo hela ya nauli kanunue kipande cha sabuni ingia nacho bafuni, piga puli ukitoka soma tena andiko lako utapata jibu
 
Habari ndugu zangu...
Katika Pitapita zangu mtandaoni (Facebook),, nilikutana Binti mmoja ,Ambaye Yuko Mkoa mwingine,namimi Niko Mkoa mwingine,,,ambaye nilipenda picha zake,nikazama inbox nikamuuliza kama ameolewa,,akasema hapana,,nikamuomba namba ya Simu,,akanipa,,Tukaingia Whatsapp kwa ajili ya kuwasiliana zaidi,,tukatumiana picha kila mmoja,, kiukweli alivutiwa na mimi,,nami pia nikavutiwa nae,,

Kiukweli tulijikuta tumeingiwa na hisia za mahusiano kutokana tulikuwa tunachati kwa kutumia Video call,,mpaka tukazoeana..

Tu Cut story..
Aliniambia ukweli kwamba Ana Mtoto Mmoja,,ambaye haishi nae Yuko kwa Bibi wa mtoto ukweni..

Kwahiyo ameshaacha na mzazi mwenzie,,, kwahiyo anaishi Maisha yake...
Wakati tunaendelea kuwasiliana Nikamuambia kama vipi naweza kutumia nauli kutoka Mkoa X alipo kuja Mkoa Y nilipo... akasema Yuko tayari Kuna ila anachangamoto nyingine ambayo inampa ugumu wa kuridhia kuja... nikamuuliza Changamoto ipi..?,, akasema kuwa baada ya kuachana na huyo mwanaume aliyezaa nae aliingia kwenye Mahusiano mengine ambayo huyo Mwanaume alimnyanya sana,,,mpaka Familia yake iliamua kumtoa kwa huyo Mwanaume...ikamrudisha Nyumbani,,kwa BAHATI mbaya,,hapo alipo anajihisi ana ujauzito wa Mwezi mmoja...hio ndo Changamoto inayomfanya ashindwe kufanya maamuzi ya kusafiri kuja kwangu...

Aliniomba kama inawezekana,,kama kweli nampenda anaomba angalau nimvumilie ajifungue...akimaliza hapo baadae anaweza kusafiri kuja kwangu mtoto akamuacha Nyumbani kwako..

Mimi nilimuuliza JE hio mimba familia yako inajua kuwa una ujauzito??.. akasema anayejua MAMA yake tu...hakuna mwingine anayejua...

Kwasababu mimi nilikuwa nishampenda nilimuambia ninaweza kutumia nauli aje hio mimba nitailea Cha Muhimu ni kupendana...,, kwasababu binafsi hata Mimi Nina Mtoto pia..Anisaidie kunilelea mwanangu na yeye nitamlelea ujauzito wake mpaka atapojifungua..na Maisha mengine yaendelee,,

Ameniambia wazazi wake ni wakali akiwaambia kwamba anasafiri amepata mchumba..Mkoa fulani,,,hawakubali,,,sasa anashindwa afanyeje ,,anawaza sijui atoroke..atawaambia akishafika

Sasa ndugu zangu nilikuwa Naomba ushauri..Vipi Nitumie nauli aje??,,Maana ameniambia ameshanipenda jinsi ninavyomjali,,,Yuko Tiyari kuishi Maisha yoyote na mimi,,
Mkoa uliopo hakuna danguro ukanunue then uendelee na maisha yako
 
Ndugu zangu ,, Binti ni Mzuri sana,,,ananikubali sana harafu ni wa kijijini huko...kiufupi naona ananifaa kabisa,,,,

Harafu nilichompendea...kaniweka wazi kila kitu
Jitahidi sana watu wasijue kama huna akili.
 
Back
Top Bottom