Habari ndugu zangu...
Katika Pitapita zangu mtandaoni (Facebook),, nilikutana Binti mmoja ,Ambaye Yuko Mkoa mwingine,namimi Niko Mkoa mwingine,,,ambaye nilipenda picha zake,nikazama inbox nikamuuliza kama ameolewa,,akasema hapana,,nikamuomba namba ya Simu,,akanipa,,Tukaingia Whatsapp kwa ajili...