Mahusiano na mwanajeshi...

Salute kwenu makamanda, ila nawasema tu kidogo hapa.

Mdada hao watu ni mal aya ova. wanakuwaga na wanawake wengi hatari.

Kuna mmoja alinitokelezea, yaani hata hatujafikia muafaka, keshanichanganya, mara nimekuona kituoni mara nilikuona na chupa ya chai hosp.

Eee Mungu nilimkimbia, (hakunila maana hamchelewi)

Dada ushukuru tu hao ni wao kwa wao wakishindwana ni wanajuana.

Heshima kubwa sana kwenu walinzi wa Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Asante sana
 
Kawaida dada,ulipaswa wewe ndio uhangaike kumaintain hali,yaani ahangaike kukufukuzia,halafu tena na ahangaike kulinda penzi...hy ilikuwa kazi yako wewe mtafutwaji/mpatikanaji.

Mie nilikuwaga nako kademu bakabaka,kalikuwa kalamishi sana,hadi kakawa kananitoa mchezoni,yani kakija gheto nakuwa sina mzuka kabisa,maana anaweza alalamike usiku kucha kuwa simjali,simpigii simu,sms simtumii wala simpost fb,ila nikaja kugundua mbinu moja tu ndio ilikuwa inafanya kazi...! akianza kulalama mie namdandia, kazi,ukimuachia hoi,akiamka tu tena akinigusa mie naanza kupapasa,juu tena,yaani nahakikisha hadi asubuhi nimemdandia vya kutosha ili kumziba domo lake...
Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"

Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.

I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.

Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
 
Vipi sisi "Walugaluga" tuna nafasi hapo?
 
Wanajeshi ni kama wamedata hivi bila kutumia nguvu zako binafsi kupigania penzi utaona kama wazinguaji flani hivi,ila kimsingi ktk hiyo sector ni kama wanahitaji kushikiliwa zaidi ya maamuzi yao,ukifanikiwa hapo ni watu safi sana.

Kiboko ya njia ni polisi,hawa si tu malaya,ni wajuaji pia.ukitaka kuamini hili,kwanza ni vigumu wao kwa wao kuona,lakini pia ndoa za polisi wa kike hazidumu,wakati huo za polisi wa kiume nyingi ziko taabani.
 
Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"

Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.

I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.

Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
Lengo la thread ,tujadili nini?
 
Mapenzi ya mbalimbali nayafananisha na mahusiano ya tv na remote inayoisha battery, wakati mmoja anapigwapigwa mwingine anabonyezwa kwa karibu
 
Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"

Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.

I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.

Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
Unamjua unaempenda lakini hujui anaekupenda.
 
Back
Top Bottom