Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
I love u
Eeh 😂Ulishampea tayari?
😂😂😂🚮Ikifika zamu ya mgambo nishtue nipo.
GwarideInaelekea unawapenda amsha popo
Duhhh😂Ashikilie nyota yake more solders ina ahamie hata navy aachane na mabaka
Wengi wanawezana wenyeweMimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"
Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.
I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.
Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
Gwaride
nyumaaaa sjui kama atageukaNa hivi yupo mbele, akigeuka tu anakuwa wa mwisho...nyumaaaa sjui kama atageuka
Hmm!I love u
Na hivi yupo mbele, akigeuka tu anakuwa wa mwisho...
bahati ya mtende kuotea jangwani inakua imekufanakukumbusha tu baby! Mama. "sisi huku tuna kitu; inaitwa WWW3 namaanisha: WAR~WOMAN~WISKEY hvo we ni sehem yangu kukutumia; wakat napoza uchovu wa koz!/kaz! Ngum!!! Any way...nishakujua pr!sca!! Wangu.' kwa sasa niko darful, sudan!!! Nikilud takutafta.Mimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"
Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.
I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.
Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
Labda nafanana na huyo unaemsema but Mimi siye 😊🤝nakukumbusha tu baby! Mama. "sisi huku tuna kitu; inaitwa WWW3 namaanisha: WAR~WOMAN~WISKEY hvo we ni sehem yangu kukutumia; wakat napoza uchovu wa koz!/kaz! Ngum!!! Any way...nishakujua pr!sca!! Wangu.' kwa sasa niko darful, sudan!!! Nikilud takutafta.