Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,941
ntarudi
Achana na hao watu wewe kwanza wanaweza fia vitani muda wowote Wana stress za huko kambiniMimi nilifanikiwa kuwa na mahusiano na mwanajeshi huko Dar. Mahusiano yetu yalikuwa ni ya long distance, nilimpenda sana. Niliona nimepata mwanaume coz kila siku huwa ananiremind kwa kuniambia "ongea na wazee wako waambie kuwa kuna mtu anataka alete barua"
Then I told my grandma lakini kama utani tu and she agreed hatakama hakujua kua nilikuwa nafanya utani ama laa. Alimtumia rafiki yake ili ajifanye mjomba wake he called me and told me kuwa nimwambie process za kabila letu zinakuaje.
I told him lakini mpaka sasa hakuna cha kupigiwa simu na huyo mjomba wake na yeye tumeachana bcoz of mawasiliano mabovu. The guy was always busy commenting kwa pics za wanawake mitandaoni, no call. Na kama tukichat ujue I was the one who started the damn conversation.
Nafurahia sikulifikisha hili zimazima kwa wazazi bcoz sijui ingekuwaje. And btn he is not the first soldier ambae niliwahi kuwa na mahusiano naye .
Ninaye mmoja tuna miezi 7 anaupendo hadi naogopa. Siyo wavaa baka wote ma.la.yWanajeshi ni kama wamedata hivi bila kutumia nguvu zako binafsi kupigania penzi utaona kama wazinguaji flani hivi,ila kimsingi ktk hiyo sector ni kama wanahitaji kushikiliwa zaidi ya maamuzi yao,ukifanikiwa hapo ni watu safi sana.
Kiboko ya njia ni polisi,hawa si tu malaya,ni wajuaji pia.ukitaka kuamini hili,kwanza ni vigumu wao kwa wao kuona,lakini pia ndoa za polisi wa kike hazidumu,wakati huo za polisi wa kiume nyingi ziko taabani.
Uwe na subira tu mpenzi.Ninaye mmoja tuna miezi 7 anaupendo hadi naogopa. Siyo wavaa baka wote ma.la.y