Astaghafurulilah....taam sanaaaa
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] dhambiiii ulifnyWanikumbusha mapenzi ya chuo.
Manzi angu Sara(RIP) alikuwa anamwadiithia shoga ake shughuli niliyokuwa nampa.
Acha shoga ake anitafute na kuanza kunisifia, na mimi sikuchelewa nikamkaribisha gheto apajuee.
Kilichoendelea mnajua. Sara alikuja gundua na mapenzi yakaisha. Shoga ake naye alivyo ona mashost wakimchamba nae akapotea.
Sara alikuja pata jamaa mmoja daktari, walikuja pata ajali wakienda Dodoma, yeye akafariki pepale, jamaa akafa baada ya siku 3.
Aaahh!!
Ngoja niishie hapa
NnMmmmmmmmmmh
Kwer lkn usemachoooi maaana mmmmmh unasem huwez wakatiiiii mmmmmh
Astaghafurulilah....
Na maisha yenyewe yalivyo mafupi...
Mungu atatusamehe kwakweli... maana hamna namna tena
....Ndo maana nakupendaga[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]nahakika mkeo kila siku analia kwa akili yako hyo lol
Kwani wewe unaweza?Kwann
Aisee huogopi endapo mkewake atagundua kama unatoka na bwana wake kitachokupata?Ndio
We utakuwa kuni za kunichomea...hhahahahahahahah subiri jehanum wewe