Mahusiano na mume/mke/mpenzi wa mtu

Mahusiano na mume/mke/mpenzi wa mtu

Mke wa mtu sitaki ht kumuona...sijawa mvivu kutongoza kwa kiasi icho yaani niache watoto wadogo wazuri wazuri nianze kwenda kujipa stress za kijinga...watatongoza hao hao madomo zege wanaochukua wake zA watu na wanawake wazee...
Mama Mongela alisema vijana wa siku hizi hawajui kutongoza hivyo wapekwe chuoni kujifunza kutongoza
 
kwanza lazima uwe na uhakika ni kipi unachokibitaji kwenye hua uhusiano wa staili hio...huingii kwenye uhusiano kama huo kubahatisha.
lazima uwe mvimilivu na roho ya plastiki maana kuna kipindi utakua unamhitani lakini sasa ametingwa.
kwa kufupi unatakiwa uwe na "endurance, perseverance,calculative,patient, n wt a big heart"
so jiulize je upo tayari kuwekeza na kuzi handle challenge hizo heads on.
all in all kama utapata furaha jipe nafasi maana u never know what th future holds for u
 
Kila anaengia kwenye uhusiano wa aina hii kuna maslahi binafsi anatafuta
Ni kweli mkuu tabia pia huchangia sana, ukiwa makini humu jamvini kuna watu hutoa confessions zao kuhusu background/experience. Kweli humu jamvini unaweza jifunza mengi ukiwa mjanja.
 
Hapo hakuna mapenzi , bali ni ujinga tu na kutojitambua au kutotambua dhamani yako au ya mapenzi
 
Back
Top Bottom