Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,179
- 34,527
umeshasema mume au mpenzi wa mtu me wa nin? hamna kitu naheshim kama mahusiano na ndoa za watu kwa kweliKwann huwez mkuuuu
umeshasema mume au mpenzi wa mtu me wa nin? hamna kitu naheshim kama mahusiano na ndoa za watu kwa kweliKwann huwez mkuuuu
Hahahaaaaa!! Hebu nipe pampula wangu we nenda katafute mumeo mama.duh had nimesisimka ! ni kweli huyo baba amejibu kiuhenga YAWEZEKANA NILIKUA DARAJA ! hata mm naona kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni daraja kwa mtu sio bure!tehteh teh ! au yawezekana espy akawa daraja kwangu kwa mumewe teh teh teh
Hahahaaaaa!! Hebu nipe pampula wangu we nenda katafute mumeo mama.
Niko njiani mama, wewe ulikuwa daraja la kunisaidia kukutana na mume wangu.teh teh teh njoo nikukabidhi next week mamy! mie nihamie mazima DAR
mimi hapanaKama ww au etiii mkuuu
Hapo inakuwa ngumu kutajaTaja wawili kwa humu jamiiii forum
Ndio nimeielewa bibieOk sir but umeelewa lkn
Unaweza kuanzisha mahusiano ya kumapenzi na mke/mume/mchumba na mtu ambaye tayari unajua kuwa anampenzi au yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine.
Ndio nakukataaMbele ya pesa utanikataa?
Niko njiani mama, wewe ulikuwa daraja la kunisaidia kukutana na mume wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hatimaye umekutanishwa na pampula wako
Mapenzi na pesa ni vitu hatari sana dunia hiiduh had nimesisimka ! ni kweli huyo baba amejibu kiuhenga YAWEZEKANA NILIKUA DARAJA ! hata mm naona kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni daraja kwa mtu sio bure!tehteh teh ! au yawezekana espy akawa daraja kwangu kwa mumewe teh teh teh
Alimuacha mke akaoa mke wa rafiki mkuuHadithi yako nzuri ila haijafika mwisho! Kwahiyo yule rafiki alifikisha wake wawili?
Najua thamani ya kupenda na kupendwaKwann huwex