Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
Ndio unaweza,njoo tu kwangu mama japo nimeoaUnaweza kuanzisha mahusiano ya kumapenzi na mke/mume/mchumba na mtu ambaye tayari unajua kuwa anampenzi au yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine.
Ndio unaweza,njoo tu kwangu mama japo nimeoaUnaweza kuanzisha mahusiano ya kumapenzi na mke/mume/mchumba na mtu ambaye tayari unajua kuwa anampenzi au yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine.
Waambie vijana wasicheze na hisia za mapenzi, kuna story niliwahi isoma mahali ni mtu na rafikiye wote wanaume, urafiki wao ni wa enzi, wakafanikiwa kuwa na familia lkn walikuwa wakiishi nchi tofauti kutokana na mihangaiko ya kiutafutaji, sasa ikawadia siku ya kukutanisha familia zao mmoja akiwa na mke na watoto wawili, mwingine mke na watoto watatu, Mara ghafla mume huyu akamtamani mke wa rafiki yake na hisia ndo zilipoanzia kumbe na wyf huyo kamzimikia Shem wake, baada ya miezi kadhaa mama aliomba talaka akaenda kuolewa na huyo Shem wake, nae alitalikiana na mkewe
Yule alenyang'anywa mke alipoulizwa kuhusu Hilo alijibu hivi, yawezekana mimi nilikuwa kama daraja la kutimiza mapenzi yao, achananeni na hisia za mapenzi jamani
Ndio unaweza,njoo tu kwangu mama japo nimeoa
Ingekua kweli kama kila mtu anavodai hapa kua hawezi anzisha uhusiano na waliotajwa kwenye uzi huu basi kusingekua na michepuko, lakini walijisemea wazaramo 'zilongwa Mbali zitendwa mbali'
Hadithi yako nzuri ila haijafika mwisho! Kwahiyo yule rafiki alifikisha wake wawili?Waambie vijana wasicheze na hisia za mapenzi, kuna story niliwahi isoma mahali ni mtu na rafikiye wote wanaume, urafiki wao ni wa enzi, wakafanikiwa kuwa na familia lkn walikuwa wakiishi nchi tofauti kutokana na mihangaiko ya kiutafutaji, sasa ikawadia siku ya kukutanisha familia zao mmoja akiwa na mke na watoto wawili, mwingine mke na watoto watatu, Mara ghafla mume huyu akamtamani mke wa rafiki yake na hisia ndo zilipoanzia kumbe na wyf huyo kamzimikia Shem wake, baada ya miezi kadhaa mama aliomba talaka akaenda kuolewa na huyo Shem wake, nae alitalikiana na mkewe
Yule alenyang'anywa mke alipoulizwa kuhusu Hilo alijibu hivi, yawezekana mimi nilikuwa kama daraja la kutimiza mapenzi yao, achananeni na hisia za mapenzi jamani
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Mke wa mtu sitaki ht kumuona...sijawa mvivu kutongoza kwa kiasi icho yaani niache watoto wadogo wazuri wazuri nianze kwenda kujipa stress za kijinga...watatongoza hao hao madomo zege wanaochukua wake zA watu na wanawake wazee...