Mahusiano na mume/mke/mpenzi wa mtu

Mahusiano na mume/mke/mpenzi wa mtu

it depends kwakweli tuweke unafiki pembeni !
Waambie vijana wasicheze na hisia za mapenzi, kuna story niliwahi isoma mahali ni mtu na rafikiye wote wanaume, urafiki wao ni wa enzi, wakafanikiwa kuwa na familia lkn walikuwa wakiishi nchi tofauti kutokana na mihangaiko ya kiutafutaji, sasa ikawadia siku ya kukutanisha familia zao mmoja akiwa na mke na watoto wawili, mwingine mke na watoto watatu, Mara ghafla mume huyu akamtamani mke wa rafiki yake na hisia ndo zilipoanzia kumbe na wyf huyo kamzimikia Shem wake, baada ya miezi kadhaa mama aliomba talaka akaenda kuolewa na huyo Shem wake, nae alitalikiana na mkewe
Yule alenyang'anywa mke alipoulizwa kuhusu Hilo alijibu hivi, yawezekana mimi nilikuwa kama daraja la kutimiza mapenzi yao, achananeni na hisia za mapenzi jamani
 
Back
Top Bottom