Wapo mkuu aiseeUnaweza kuanzisha mahusiano ya kumapenzi na mke/Mme/mchumba na mtu ambaye tayari unajua kuwa anampenzi au yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine
edit hapo iwe kimapenziUnaweza kuanzisha mahusiano ya kumapenzi na mke/Mme/mchumba na mtu ambaye tayari unajua kuwa anampenzi au yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine
MhSiwezi
HahahaaInategemea ntu na ntu
Nagonga muhuriWengi mtasema HAMUWEZI kwasababu mpo kwenye hayo mapenzi na hamjijui.
1. kama una mpenzi zaidi ya mmoja inakuhusu hiyo.
2. unaweza ukawa na mmoja lkn huyo mmoja anae mwingine na anampenda zaidi yako.
Hahahaa
Mkuu hadithi hii inatufundisha niniWanikumbusha mapenzi ya chuo.
Manzi angu Sara(RIP) alikuwa anamwadiithia shoga ake shughuli niliyokuwa nampa.
Acha shoga ake anitafute na kuanza kunisifia, na mimi sikuchelewa nikamkaribisha gheto apajuee.
Kilichoendelea mnajua. Sara alikuja gundua na mapenzi yakaisha. Shoga ake naye alivyo ona mashost wakimchamba nae akapotea.
Sara alikuja pata jamaa mmoja daktari, walikuja pata ajali wakienda Dodoma, yeye akafariki pepale, jamaa akafa baada ya siku 3.
Aaahh!!
Ngoja niishie hapa
Sio kila hadithi inafundishaMkuu hadithi hii inatufundisha nini