mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 641
- 605
Aliliwa na lodge alitaitiwa akalipa na akamlipa mlaji simu na 20Ni kweli unamshukuru Mungu hakukufanya chochote Mdogo wangu. Na hasara alizokutengenezea je? Simu yako?20k yako[emoji2]Muda wako? Na hela ya lodge walikusamehe? AU?
Kingine..Siku ya kwanza unawezaje kuonana na mtu mnapelekana hadi Lodge? Huogopi na hii Dunia inayoongezeka matukio kila leo?