Belleringal
Member
- May 25, 2020
- 83
- 155
- Thread starter
- #61
We acha tu na alikuwa na alama ya kama panga si panga kisu si kisu usoni ....mjinga MimiNimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Seems ulichat na mtu bila hata kutaka picha yake wala video call bila kushtuka?
Uliposikia Dubai chupi ikashika?
Mtu katokea Dubai hawezi kukodi hata taxi/uber?
Imapelekwa shamba ukaishia lodge?
Daaah pole Angel