Mahusiano na mtu nisiyemjua

Mahusiano na mtu nisiyemjua

Kama chai hivi

B97738B7-B5CC-4C96-974E-FE0CB4598F92.jpeg
 
Yani kweli unakubali kwenda kukutana na mtu usiemjua mbali, kwanini usimwambie aje mitaa ambayo ni karibu na kwenu?? kama vile hiyo haitoshi anakupandisha bodaboda tena umbali mrefu na unakubali, sasa shamba unaenda kuliangalia kama nani?? Kisa tu ana namba ya simu ya nje???
Halafu inaonekana alikula na bado akaondoka na simu na hela yako vile vile
Wenge la kupata Bwana kutoka DUBAI......tena huenda alikua anafanya siri ili wabongo wasimlogee.....
 
Pole sana Angel Bellerin. Ila jamaa kafeli sana alitakiwa achape mzigo na kama ana hata tu fungus akuachie hapo kati in short jamaa ameyumba.
 
Hii ilomtokea mtoa mada,
Sio suala geni Kwenye jamii yetu.

Hili Limo hata humu humu JF (hasa MMU na CHITCHAT)

Watu mnatongozana,
Mnaitana wapenzi, mnabembelezana, mnamisiana, mnasalitiana na sometimes mpaka machozi yanawatoka kwa watu msowajua.

Yakiwakuta,
vilio Kama hivi Kama kwa mwenzetu mtoa mada.

Honestly,
Ukiweka masihara pembeni,

Kiukweli nimeguswa Sana, Pole sana mtoa mada

Mchango wangu Sijui nawasilisha kwa Nani?
Umenena vyema
 
Ndio inawezekana, lkn hii nilazima uwe kwanza ulikua Marekan, ukajisajili wasap hukohuko... Sasa umerudi bongo.. Unaendelea kutumia namba yako hiyohiyo.



Je hapa bongo, kuna utaalam wa kujisajili wasap kutumia Code # za nchi nyingine naupo hapahapa Bongo na laini yako ya Tgo ????.


Na kwa inshu ya huyu Bidada, kama jamaa alikua anatumia hiyo namba hapahapa bongo..why hakutuma picha?? Kwann hakutaka Video Call???.
Hata ukitaka muda huu tuongee biashara, hilo jambo dogo tu. Mm nakusajilia namba ya nchi yoyote.
 
Hiyo ndo mbinu wanaitumia sasa hivi maana wanajua wadada tunashobokea namba za nje.

Hivi lakini na wewe, mtu humjui anakuambiaje muende shambani kwake tena kwa pikipiki na wewe unakubali?
Hukuwaza huko shamba ungeenda kubakwa? Au ndo sababu alikua baby tena you were ready for anything?




Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?

Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( not sure) ...then tukawa tunaendelea kuchat ,kuchat kila siku almost 2 months tunawasiliana mpaka tukawa na MAHUSIANO ya online tu...

One day aliniambia that anarudi tz so atanitafta na no nyingine .......kweli bhn wiki ilivyoisha akanitumia msg kuwa yupo tz na akanipigia pia ...akaniambia kesho yake tuonane 🤪.... Kesho ikafika bhn akaniambia nitamkuta mbezi ya kimara...kweli mtoto wa kike nikajiandaa nikaenda tukawasiliana nikiwa stand ....akaja tukasalimiana ....bas bhn nikapandishwa pikipiki ati tunaenda kibaha kuangalia shamba lake ...tukaenda bhn...

Hamna Cha shamba wala nini akakodi lodge (hakulipia😭) sasa tukawa tumekaa KWA nje (lakini ni mazingira ya ndani ) ilikuwa siku ya jumamoc tunapiga story kabla ya kuingia ndani akaniuliza una acc ya bank nikqjibu sina , business gani unayo ...nikqjibu kuku nauza chotara .....basi tukaingia ndani akaniuliza una 50 hapo?

Nikqjibu hapana .....akatoka nje .. akarudi akaazima simu that ampigie mdogo wake ...kapiga wakaongea ....kabla yalolote kufanyika akatoka Tena mara ya tatu nje 😭jaman nyuma ya kasha la simu niliweka 20k huku mkononi sina hata mia ...

Jamaa akasepa na simu baada ya kuhisi sina pesa ....inaonekana ni mtandao wa wezi na inaonekana nilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu 😊🙌
Pole sana mtoto mzuri ebu njoo tuyajengee inbobooo
 
Pamoja na ujasiri wote lakin katika kitu huwa nakua makin na namba mpya ni lazima aniambie kwanza amepata wapi namba yangu.

Akishindwa kujieleza ,huwa namsikiliza hoja yake..kama ina ni favor ndyo nitaendelea na mazungumzo,lakin kama ina mfavor yeye,Hapana.Siitaj hayo mawasiliano ya annonimous.

Pole sana kwa yaliyokukuta,lakin pia wanawake wenzio tumejifunza
 
Pamoja na ujasiri wote lakin katika kitu huwa nakua makin na namba mpya ni lazima aniambie kwanza amepata wapi namba yangu.

Akishindwa kujieleza ,huwa namsikiliza hoja yake..kama ina ni favor ndyo nitaendelea na mazungumzo,lakin kama ina mfavor yeye,Hapana.Siitaj hayo mawasiliano ya annonimous.

Pole sana kwa yaliyokukuta,lakin pia wanawake wenzio tumejifunza
kwenye maisha ukiona stranger anajitambulisha kwa bashasha huku akijinasibu makazi na ukwasi jua hapo kuna halufu ya kupigwa.
 
P.s mtu usiemjua usikubali kukutana nae gest kaama hataki mkutane kwake achana nae uyo ni mwizi au muhalifu.,
 
Hiyo ndo mbinu wanaitumia sasa hivi maana wanajua wadada tunashobokea namba za nje.

Hivi lakini na wewe, mtu humjui anakuambiaje muende shambani kwake tena kwa pikipiki na wewe unakubali?
Hukuwaza huko shamba ungeenda kubakwa? Au ndo sababu alikua baby tena you were ready for anything?




Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Nahisi hii baby ilikuwa tatizo
 
Na nilitoka kwa sista bila kusema kitu àise na hajui.had leo kitu anajua ni iliibiwa kwenye daladala
Uskiubali kuonana na mtu usiyemfahamu maeneo private.. sehemu za kukutana na mtu zenye usalama kwako ni public zaidi zenye watu wengi ,ulinzi n.k

na hakikisha umewapa taarifa moja kati ya watu wako wa karibu atlist wajue unaenda wapi!
hakikisha unamfahamau mtu kwanza,

usikurupuke wengine hawatakutapeli tu wanaweza hata kukudhuru!

20 or 21 yrs mwaka huu utatimiza?
 
Back
Top Bottom