Mahusiano na mtu nisiyemjua

Mahusiano na mtu nisiyemjua

Yani kweli unakubali kwenda kukutana na mtu usiemjua mbali, kwanini usimwambie aje mitaa ambayo ni karibu na kwenu?? kama vile hiyo haitoshi anakupandisha bodaboda tena umbali mrefu na unakubali, sasa shamba unaenda kuliangalia kama nani?? Kisa tu ana namba ya simu ya nje???
Halafu inaonekana alikula na bado akaondoka na simu na hela yako vile vile
 
Kumbe zile tamthilia za kina dude ni kweli? Hata kama uliliwa sidhani kama utakaa uhadithie hiyo sehemu. Ila dah tamaa mbaya sana. Ila ni fundisho kwa madem wa kibongo. Yaani hata iwe ni mwanaume Mkongo, Mganda au Mnaigeria mchoma chips ni dk sifuri ashamtolea kivazi.
 
Inakua hivi... Jamaa anakua na mshikaji wake wa mbele anampanga

So demu muda wote anajua anachat na wambele... Ila hapo unakuta Picha hamna wala kupiga video hamna.


Alafu baadae anatafutwa na mwingine wa hapahapa Bongo .


Anamwambia nko TZ banaaa. Tuonane.

Demu anajua kweli jamaa kaja. Kumbe yule wa mbele na huyu ni watu wawili tofauti

Tena anabahati..alikua anatombwa., na simu wanabeba na hela wanabeba. Na lodge anakosa chakulipia, msimamizi wa lodge anampiga mashine tena.
Na alikataa kutuma picha wala video
 
Sikia mdogo wangu, haihitaji mtu kuwa Dubai ili aweze kuwa na namba ya Whats'App yenye code number za dubai, au haihitaji mtu kuwa Tz ili kutumia namba yenye +255. Siku nyingine piga video call. Hata hivyo umeshajifunza endelea kuwafunza mabinti wadogo na wamama watu wazima nao ni victim sababu hii michezo hawaijui.
 
Hii ilomtokea mtoa mada,
Sio suala geni Kwenye jamii yetu.

Hili Limo hata humu humu JF (hasa MMU na CHITCHAT)

Watu mnatongozana,
Mnaitana wapenzi, mnabembelezana, mnamisiana, mnasalitiana na sometimes mpaka machozi yanawatoka kwa watu msowajua.

Yakiwakuta,
vilio Kama hivi Kama kwa mwenzetu mtoa mada.

Honestly,
Ukiweka masihara pembeni,

Kiukweli nimeguswa Sana, Pole sana mtoa mada

Mchango wangu Sijui nawasilisha kwa Nani?
 
Kuna kitu nafikiria hapa Sipati picha, najikuta nacheka sana

Nawaza mtoa mada alirudi vipi nyumbani kwake kutokea uko kibaha.

Ukzingatia tayar simu Hana na pesa Hana.

Sipati picha maongezi yake na KONDA wa daladala yalikua vipi akimfafanulia jinsi gani atalipia nauli yake
 
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa tabata kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?

Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( not sure) ...then tukawa tunaendelea kuchat ,kuchat kila siku almost 2 months tunawasiliana mpaka tukawa na MAHUSIANO ya online tu ...

One day aliniambia that anarudi tz so atanitafta na no nyingine .......kweli bhn wiki ilivyoisha akanitumia msg kuwa yupo tz na akanipigia pia ..
Pia umeliwa kimasihara, ukweli utakuweka huru.
 
Ni kweli unamshukuru Mungu hakukufanya chochote Mdogo wangu. Na hasara alizokutengenezea je? Simu yako?20k yakoMuda wako? Na hela ya lodge walikusamehe? AU?

Kingine..Siku ya kwanza unawezaje kuonana na mtu mnapelekana hadi Lodge? Huogopi na hii Dunia inayoongezeka matukio kila leo?
 
Back
Top Bottom