Belleringal
Member
- May 25, 2020
- 83
- 155
- Thread starter
- #41
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa we mbaya
Mbavu Sina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha[emoji23][emoji23]
Najaribu kuwazaa...
Embu tufanye ivi
Kuanzia ilianzia lodge kwa Muhudumu..
Demu.....et kaka/dada kaka nilokua naye kaenda wapi??
Muhudumu....mmmhhhh naona alitoka nje ya geti ,kwan vipi
Demu.... Aahhh naona muda unaenda ila harudi
Muhudum... Mmhhh ungempigia simu
Demu....haaaaa simu yangu nmempa ili aongee
Muhudum ...mmhhhhh lkn si nimtu wako wamuda mrefu
Demu...hahaha hamna banaa siunajua mapenzi ,hatujuan sanaa nikm wiki mbili tu
Muhudum.... Mmmhh hayaaaa
BAADA YA NUSU SAAA
muhudum.... Kwa kutumia simu yake..namba unayopiga haipatikan
Demu....hiiii jamaaanii eeehh uwiiiiiii nmeibiwaaa
Muhudum... Pole dada, ila nachumba hajalipaaa
Mnasemaje???
Tifanye kama muhudumu alikua Mwanaume, ili nimalizie kikichoendelea ?? Au tufanye alikua ni mwanamke ???
Semeni..dunia nihii hii na watu nihawahawa nando sisis
Ebu tuletee coversation ya mtoa mada vs KONDA wa daladalaHahahahaha[emoji23][emoji23]
Najaribu kuwazaa...
Embu tufanye ivi
Kuanzia ilianzia lodge kwa Muhudumu..
Demu.....et kaka/dada kaka nilokua naye kaenda wapi??
Muhudumu....mmmhhhh naona alitoka nje ya geti ,kwan vipi
Demu.... Aahhh naona muda unaenda ila harudi
Muhudum... Mmhhh ungempigia simu
Demu....haaaaa simu yangu nmempa ili aongee
Muhudum ...mmhhhhh lkn si nimtu wako wamuda mrefu
Demu...hahaha hamna banaa siunajua mapenzi ,hatujuan sanaa nikm wiki mbili tu
Muhudum.... Mmmhh hayaaaa
BAADA YA NUSU SAAA
muhudum.... Kwa kutumia simu yake..namba unayopiga haipatikan
Demu....hiiii jamaaanii eeehh uwiiiiiii nmeibiwaaa
Muhudum... Pole dada, ila nachumba hajalipaaa
Mnasemaje???
Tifanye kama muhudumu alikua Mwanaume, ili nimalizie kikichoendelea ?? Au tufanye alikua ni mwanamke ???
Semeni..dunia nihii hii na watu nihawahawa nando sisis
My dear nilisaidiwa na mashabiki wa simba wawili [emoji23] nauliKuna kitu nafikiria hapa Sipati picha, najikuta nacheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawaza mtoa mada alirudi vipi nyumbani kwake kutokea uko kibaha.
Ukzingatia tayar simu Hana na pesa Hana.
Sipati picha maongezi yake na KONDA wa daladala yalikua vipi akimfafanulia jinsi gani atalipia nauli yake[emoji3]
Kwa hiyo aliposepa alikutelekezea malipo ya chumba?akakodi lodge (hakulipia😭
[emoji848]wew wewOoohooo my Eyes ...... Uwii daahh.... Let me confess this , your profile picture shows off a sexy ,hot and beautiful angel, only the halo and wings are missing...
Guess what? your second name must be 'storm'? Because, you have blown me away.
Yaan Hii sura yako. Kuna mdada humu JF anayo kabisaa, Hizo Lips zako. macho ,sura ilivyojaaa ohooooooo[emoji8][emoji8][emoji8]
Wakubwa wanafaidi jamaan, nikikua mtanikoma.... Wee dada wa JF. Uliyenikataa kisa bado nasoma sekondari, NIKIKUA UTANIKOMA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wadada akili mliziweka wapi sasa
Basi sawa try me broUnaonekana mwepesi km table ya pili mtu humfahamu anakichukua muende Kibaha na unakubali [emoji46][emoji46][emoji46]
Nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa tabata kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?
Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( not sure) ...then tukawa tunaendelea kuchat ,kuchat kila siku almost 2 months tunawasiliana mpaka tukawa na MAHUSIANO ya online tu ...
One day aliniambia that anarudi tz so atanitafta na no nyingine .......kweli bhn wiki ilivyoisha akanitumia msg kuwa yupo tz na akanipigia pia ...akaniambia kesho yake tuonane [emoji2957].... Kesho ikafika bhn akaniambia nitamkuta mbezi ya kimara...kweli mtoto wa kike nikajiandaa nikaenda tukawasiliana nikiwa stand ....akaja tukasalimiana ....bas bhn nikapandishwa pikipiki ati tunaenda kibaha kuangalia shamba lake ...tukaenda bhn ...
Hamna Cha shamba wala nini akakodi lodge (hakulipia[emoji24]) sasa tukawa tumekaa KWA nje (lakini ni mazingira ya ndani ) ilikuwa siku ya jumamoc tunapiga story kabla ya kuingia ndani akaniuliza una acc ya bank nikqjibu sina , business gani unayo ...nikqjibu kuku nauza chotara .....basi tukaingia ndani akaniuliza una 50 hapo?
Nikqjibu hapana .....akatoka nje .. akarudi akaazima simu that ampigie mdogo wake ...kapiga wakaongea ....kabla yalolote kufanyika akatoka Tena mara ya tatu nje [emoji24]jaman nyuma ya kasha la simu niliweka 20k huku mkononi sina hata mia ...
Jamaa akasepa na simu baada ya kuhisi sina pesa ....inaonekana ni mtandao wa wezi na inaonekana nilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu [emoji4][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Uyo wa Dubai hakuwahi kuongea kwa video call,interesting.una bahati angekula mpaka mtandao pedwa