Mahusiano na mtu nisiyemjua

Mahusiano na mtu nisiyemjua

Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa tabata kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?

Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( not sure) ...then tukawa tunaendelea kuchat ,kuchat kila siku almost 2 months tunawasiliana mpaka tukawa na MAHUSIANO ya online tu ...

One day aliniambia that anarudi tz so atanitafta na no nyingine .......kweli bhn wiki ilivyoisha akanitumia msg kuwa yupo tz na akanipigia pia ...akaniambia kesho yake tuonane [emoji2957].... Kesho ikafika bhn akaniambia nitamkuta mbezi ya kimara...kweli mtoto wa kike nikajiandaa nikaenda tukawasiliana nikiwa stand ....akaja tukasalimiana ....bas bhn nikapandishwa pikipiki ati tunaenda kibaha kuangalia shamba lake ...tukaenda bhn ...

Hamna Cha shamba wala nini akakodi lodge (hakulipia[emoji24]) sasa tukawa tumekaa KWA nje (lakini ni mazingira ya ndani ) ilikuwa siku ya jumamoc tunapiga story kabla ya kuingia ndani akaniuliza una acc ya bank nikqjibu sina , business gani unayo ...nikqjibu kuku nauza chotara .....basi tukaingia ndani akaniuliza una 50 hapo?

Nikqjibu hapana .....akatoka nje .. akarudi akaazima simu that ampigie mdogo wake ...kapiga wakaongea ....kabla yalolote kufanyika akatoka Tena mara ya tatu nje [emoji24]jaman nyuma ya kasha la simu niliweka 20k huku mkononi sina hata mia ...

Jamaa akasepa na simu baada ya kuhisi sina pesa ....inaonekana ni mtandao wa wezi na inaonekana nilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu [emoji4][emoji119]
Mtakufa sio siku zenu, sio kila sehemu ya kudanga
 
Ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi, huo ni mshale mmoja wapo katika ukuaji wako
 
Hii michezo ya kutengeneza namba za US au nchi yoyote ilivuma kipindi fulani miaka ya 2013-2015 na hata sasa ipo lakini huduma nyingi ni za kulipia. Kuna apps unatengeneza virtual phone number ya nchi yoyote na unaweza kuitumia namba hiyo ya simu kutengeneza account hata whatsapp kwa namba hiyo then kuna dolla mbili kama utataka kupiga simu unakuta tayari zipo. Sasa ndugu zangu wanigeria wamecheza sana na hizo fursa.

Juzi kuna Dada mmoja ni rafiki yangu sana, alinifuata akaniambia kuwa kuna mtu wa India amemuahidi kiasi kikubwa cha pesa ila masharti amtumie nude photos na videos kwa Whatsapp. Nikamwambia "kimbia fasta!!! Maana hujui amepataje namba yako, inawezekana ni mbongo hapahapa lakini akakuliza."
Hii michezo hata waNigeria wamefanya sana. Wanajifanya wenyewe ni kampuni ya Nokia eti umeshinda kwenye shindano fulani. Utume hela ya shipping utumiwe zawadi zako. Hahaha!!
 
Wewe binti husipobadilika utakuja kuchunwa ngozi ipo cku. We mtu ndo cku hyo mmeonana ndo mwende lodge kweli? Mungu wasaidie wanao hawa wamekuwa desparate sana ndoa kumbe ni mbwa kumchezea chatu.
 
Ukisikia wanawake akili zetu ziko makalion ndio kama hivi unajua nashangaaga mimi sijui ni ushamba wangu hata sijui
Mtu humjui anakupakia kwenye pilie piki kwenda kibaha nawe unabuluza miguu tu ungebakwa ungemlilia nani?[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] Hovyoo
 
Angesema anatokea kwa mpalange usingehangaika kuonana nae ila nguvu ya Dubai imekufanya umkubali kabla hamjaonana teh!

Hadithi yetu inatufundisha tuachane na tamaaa

Hope hukuliwa kweli kama ulivyoandika hapo
Mmmmmh me wa dubai ndio naweza ogopa zaidi maana ndio mafilauni wakubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa tabata kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?

Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( not sure) ...then tukawa tunaendelea kuchat ,kuchat kila siku almost 2 months tunawasiliana mpaka tukawa na MAHUSIANO ya online tu ...

One day aliniambia that anarudi tz so atanitafta na no nyingine .......kweli bhn wiki ilivyoisha akanitumia msg kuwa yupo tz na akanipigia pia ...akaniambia kesho yake tuonane [emoji2957].... Kesho ikafika bhn akaniambia nitamkuta mbezi ya kimara...kweli mtoto wa kike nikajiandaa nikaenda tukawasiliana nikiwa stand ....akaja tukasalimiana ....bas bhn nikapandishwa pikipiki ati tunaenda kibaha kuangalia shamba lake ...tukaenda bhn ...

Hamna Cha shamba wala nini akakodi lodge (hakulipia[emoji24]) sasa tukawa tumekaa KWA nje (lakini ni mazingira ya ndani ) ilikuwa siku ya jumamoc tunapiga story kabla ya kuingia ndani akaniuliza una acc ya bank nikqjibu sina , business gani unayo ...nikqjibu kuku nauza chotara .....basi tukaingia ndani akaniuliza una 50 hapo?

Nikqjibu hapana .....akatoka nje .. akarudi akaazima simu that ampigie mdogo wake ...kapiga wakaongea ....kabla yalolote kufanyika akatoka Tena mara ya tatu nje [emoji24]jaman nyuma ya kasha la simu niliweka 20k huku mkononi sina hata mia ...

Jamaa akasepa na simu baada ya kuhisi sina pesa ....inaonekana ni mtandao wa wezi na inaonekana nilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu [emoji4][emoji119]
Hahaha dah sasa kwann asingekutafuna kwanza
 
Siona nilivyo mjanja .

Ulichat na watu wawili.

Wa mamtoni mwengine.

Ulokutana naye mwingine.

Kwa akili za mademu wetu tuloumbiwa Nchini kwetu TANZANIA

Hiyo mbinu, unaweza kuwala sanaaaa sanaa yaan ukawala mpaka mashinee ikaishiaaa kama penseli ukabaki na ufuto.

MSINISHUKIE???

Kwa sababu mademu wabongo wanaamini kukaa nje una hela.

Sasa unawalaje????

Mwanao wa mbele unampanga vizurii anakua anachatisha.

Kisha, anamwambia.... baby nakuja wiki ijayo nikuone..naomba utafute lodge nzuri ya uwezo wako ulipiaa , ulipie nitakuja nakupa hela.

Demu wa watu atajitutumua, anaenda kuvunja kibubu, kama nihawa wenye vijisenti, nakuambia atawatangazia wenzake balaaaaaaaaa "baby wa US anakuja shoooooooo ,mtoto wa watu anapanda ndegee kufata K ya kizaramo shoooooooo , nakuambiaaaje, nataka nimpe maunoooo hayoo shoooo maunooo mpaka asitamani kurudi US"

Masikin wa watu anaenda Anavuta mpunga kwa ATM....

Siku ya siku atalipiaa[emoji23][emoji23]

Baby tayariiiiii

Masikinii jamaaan hahahahaha

Mara wa US anablock ..

Anatafutwa na wa TZ.

Wa TZ anapokelewaaaa kwa bashashaaaa, analishwa msosi wa nguvu, anaogeshwaa..

Bao moja linapigwa bafunii

Wanarudi kitandan, demu anapigwaa ,anapelekewa motoooo kwa muda wote wa siku alizolipia.

Baadae muhuni anamuaga kua anaenda kwa ndugu, sijui hajabadili pesa ,...ivo dem amkope kama laki moja.

Anampaaaa

Muhuni anasepaaaaaaaa na laki..kala mbususu KWA GHARAMA ZA DEMU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na muhuni mwenyewe kumbe yupo kwa ARVs kwa bahati mbaya suala la kutumia ndomu ,kwa mademu,huwa ni uamuzi wa mwanaume [emoji23][emoji23]

Kumbe Jamaa ni mzima wa Afya, ila demu ndo kaungua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

HERI NGUO ZIRARUKE KULIKO AKILI. MAANA UTAJIRI WA MASIKINI NI UJINGA WAKE MWENYEWE.

mkinishukia, nawashukia vilevile.
Unaweza ukawa Tanzania na ukatumia namba ya Marekani kwa Wattsap
 
Angesema anatokea kwa mpalange usingehangaika kuonana nae ila nguvu ya Dubai imekufanya umkubali kabla hamjaonana teh!

Hadithi yetu inatufundisha tuachane na tamaaa

Hope hukuliwa kweli kama ulivyoandika hapo
Joanah nakusupport hapa atakua aliliwa sema kusema ngumu... but wanawake wachukue moral of the story

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Uyo jamaa akukupenda na angekupenda angekukula arafu unaweza kuwa bongo na ukawa na wasap ya dubai mimi natumia number ya wasap ya Italy na nipo bongo
 
Back
Top Bottom