Mahusiano makazini . . . Je Unaitwaje??

Yaani hii mada haina adabu hata chembe..................nimecheka mbele ya Ba Mkwe.daaaaaamn simu hizi loh
Sie HR wetu twamwita...............Excuse Me Boss.......you have a text message
24/7 ni sms na simu za mkononi
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Kuna mdada ofisini tunamwita utaniooa???????

Yeye akipata mwanaume leo tu,anaanza kumuuliza utaniooa?????

Yuko desperate na kuolewa lol
 
sie kazini kwetu kuna jamaa ana upara wa aina yake, basi akatungiwa jina KIPARA PUMBU: Jamaa hakulikubali kabisa hilo jina, yaani hata ukisema neno PU bila kumalizia anajua umemtania na mtagombana. Siku moja alipigana kazini ndipo watu wakaogopa kuendelea na huo utani maana alikua mtu mzima mwenye familia.
 
Mkuu penzi la hao watu ni ful kuviziana, vile vya fasta fasta ucpime!

Kuna ofisi moja ya Umma hapa Tanzania, tena ipo Dar.
Kuna jamaa mmoja huwa anamalizana na mdada mmoja ofisini hasa mida ya weekend. Tena huyo mdada kaolewa.
Yaani inakuwa hivi: Siku za weekend huyo mdada hatakiwi kwenda kazin maana ni mapumziko kwake, lakin jamaa weekend hutakiwa kuja.

Wanamalizana kwenye ofisi ya jamaa. Mdada akija weekend ujue kajileta kwa shughuli na jamaa. Mdada anaenda toilet anatoa ch*pi. Then anatoka kuingia ofisin kwa jamaa kama vile anampelekea mafaili. Kufika huko anainama na kushika meza, anapandisha mguu mmoja juu, mwingine kwa ajiri ya kusimama. Then anajifunua jamaa anamaliza kazi dk 15 mpaka 30
 
yaaani hilo DOGO lomekomaaa,nimelikataaa weeee waaapi,eti kisa sijaoa.....kila anitae uutansikia DOGO,

Unalikataa huku unacheka, si watajua unamaanisha sitaki nataka.
Mi mwenyewe chuoni mwaka 2000 walikuwa wakiniita hilo jina, sasa jamaa akaliendeleza baada ya kumaliza 2001 . . . nilimpa maneno ambayo hata sahau. Tangu siku hiyo alikoma kabisa hata kunisalimia.
 
Maeneo yoote ya Ofisi yana utani saana dhidi ya wafanya kazi wenzao.. But ninachojua mara nyingi wahusika automatically huchange pale mgeni hasa mtoto mdogo (Not neccessarily mdogo saana) watu hurudi katika hali zao.. Hao ulotolea mganao wamevuka mpaka Aisee... tena watoto watakua disturbed mpaka waje waelewe ni badae saaaana...

Yah
Unajua majina mengine yanachafua image yako kwa watu wanaokuheshimu.
Ni mbaya sana hasa inapotokea wanasahau kabisa jina lako halisi na wanakujua kwa jina la kukuchafua kama huyo mzee
 
Kuna mdada mmoja anaitwa Amina yeye ni salonist, kila siku tukienda pale tunahudumiwa yuko mapepe fulani hivi, kwa hiyo tukawa tunamwita Amina mapepe, ila yeye hajui kabisa, kuna mama angu mdogo alikuwa ana mtoto wake mdogo tunaendaga nae hapo salon, kuna siku tumefika pale salon kale katoto ka miaka minne kakamwambi kwa saiti, "AMINA MAPEPE MAMBO" loooooo tulionaje aibuu, yaani kuanzia siku hiyo tukahama na salon yaani ukimya ulitanda na amina hakuitikia kabisa
 
Kama huyu amina mapepe lol
 
Kuna ofisi moja ya Umma hapa Tanzania, tena ipo Dar.
Kuna jamaa mmoja huwa anamalizana na mdada mmoja ofisini hasa mida ya weekend. Tena huyo mdada kaolewa.
Yaani inakuwa hivi: Siku za weekend huyo mdada hatakiwi kwenda kazin maana ni mapumziko kwake, lakin jamaa weekend hutakiwa kuja.

Wanamalizana kwenye ofisi ya jamaa. Mdada akija weekend ujue kajileta kwa shughuli na jamaa. Mdada anaenda toilet anatoa ch*pi. Then anatoka kuingia ofisin kwa jamaa kama vile anampelekea mafaili. Kufika huko anainama na kushika meza, anapandisha mguu mmoja juu, mwingine kwa ajiri ya kusimama. Then anajifunua jamaa anamaliza kazi dk 15 mpaka 30
CPU we unajuaje jamani au unapigaga chabo? au ni wewe unakula vya watu?
 
Kuna mdada mmoja anaitwa Amina yeye ni salonist, kila siku tukienda pale tunahudumiwa yuko mapepe fulani hivi, kwa hiyo tukawa tunamwita Amina mapepe, ila yeye hajui kabisa, kuna mama angu mdogo alikuwa ana mtoto wake mdogo tunaendaga nae hapo salon, kuna siku tumefika pale salon kale katoto ka miaka minne kakamwambi kwa saiti, "AMINA MAPEPE MAMBO" loooooo tulionaje aibuu, yaani kuanzia siku hiyo tukahama na salon yaani ukimya ulitanda na amina hakuitikia kabisa

Ha ha ha ha hah
Mnahama hadi saluni??
Sasa hayo mapepe ni kwamba alikuwa anaongea sana au?
 
Kuna ofisi moja ya Umma hapa Tanzania, tena ipo Dar.
Kuna jamaa mmoja huwa anamalizana na mdada mmoja ofisini hasa mida ya weekend. Tena huyo mdada kaolewa.
Yaani inakuwa hivi: Siku za weekend huyo mdada hatakiwi kwenda kazin maana ni mapumziko kwake, lakin jamaa weekend hutakiwa kuja.

Wanamalizana kwenye ofisi ya jamaa. Mdada akija weekend ujue kajileta kwa shughuli na jamaa. Mdada anaenda toilet anatoa ch*pi. Then anatoka kuingia ofisin kwa jamaa kama vile anampelekea mafaili. Kufika huko anainama na kushika meza, anapandisha mguu mmoja juu, mwingine kwa ajiri ya kusimama. Then anajifunua jamaa anamaliza kazi dk 15 mpaka 30

We dogo,

Hii tabia ya kupiga chabo umeianza lini?
 
Ha ha ha ha hah
Mnahama hadi saluni??
Sasa hayo mapepe ni kwamba alikuwa anaongea sana au?
Anaongea sana kila kitu anajua yeye, na kila mtu wa hapa mjini yeye anamjua saaana, nyumbani tukawa tunaambiana wakati tukienda hapo,mi naenda kwa amina mapepe nahisi mtoto akaidaka
 
  • Thanks
Reactions: CPU
kuna jamaa alikuwa hajui kuwa anaitwa kiuno

kwa sababu kiuno chake kiko juu juu hivi...

siku moja mbele yake
watu wamejisahau......
ishu ilianza kwa kiuno kumwambia mdada mmoja amwambie mdada mwingine anamwita

wakasahau,
walipokutana mbele yake,ndo wakajisahau kabisa

wakaulizana mbele yake..

wewe si nilikwambia kiuno anakuita??????????

jamaa akauliza kiuno ndo nani?????????lol

Hah ha ha ha hah haha
Kiuno kipo juu au anafungia mkanda tumboni?
 
Kusema za ukweli, mi sijui kwanini haya mamjamaa yangu huwa yananiita SMILLING KILLER.... Sijui kwakweli.

Ila bosi wangu akijua namwita MKOLONI nahisi kibarua changu kitaota nyasi...
 
Back
Top Bottom