Mahusiano makazini . . . Je Unaitwaje??

mimi kazini kuna jamaa anaitwa Mswati akiona sketi tu kosa hata kama amechoka lazima afanye kazi,mwingine tunamwita vuvuzela..anapenda sana sifa na kuongea hovyohovyo,sasa ole wako akusikie unamwita hilo jina umekwisha.

Huyo Mswati akiona sketi ya waziri ndo itakuwaje?
Ila huyo Vuvuleza heh he heheh
Sisi huku Vuvuzela ni MILINGOTI YA WANAUME . . .lolz
 
He he he huku kuna mdada tunamuita maximo kwani hubadilisha wanaume kila muda

Inalekea huko kwenu mnafuatilia sana football
Ngoja nigeze hili jina . . . .
Jina zuri ila lina linakuchafua . . . .hehehe
 
Yaani hii mada haina adabu hata chembe..................nimecheka mbele ya Ba Mkwe.daaaaaamn simu hizi loh
Sie HR wetu twamwita...............Excuse Me Boss.......you have a text message
24/7 ni sms na simu za mkononi

Hajakuuliza unachekea nini?? Heheheh
 
Kuna mdada ofisini tunamwita utaniooa???????

Yeye akipata mwanaume leo tu,anaanza kumuuliza utaniooa?????

Yuko desperate na kuolewa lol

Huyu kuna kitu kinamsumbua . . . . hii ndoa haitakuwa ndoa
 
Babu mi sipigi chabo, Mjukuu wako mwenyewe kaniambia LIVE
Hatari sana hiyo.......hebu ukuje huku kwetu ufanye utafiti,

Ni kwanini wananiita SMILLING KILLER?
Na huyu dada anayefanya usafi kwanini wanamwita CHAWOTE?
Na kuna draiva mmoja hapa wanamwita DESTROYER... (Huyu inasemekana ana miguu mitatu ila bahati mbaya mmoja una kilema)
Kuna mwingine anaitwa SOPARE (Huyu ana imani yake kuwa K. iko nyumbani kwahiyo akitoka nje hana shida ya K bali tiGO)
 
CPU we unajuaje jamani au unapigaga chabo? au ni wewe unakula vya watu?
asante kwa msaada wako wa kunisaidia kuuliza hil swali......atueleze kuanzia pale anapoenda toilet anatoa kufuli,ananyanyua mguuu.....na huo muda wa kati ya dk 15-30,aaahCPU!!!!!
 
Hatari sana hiyo.......hebu ukuje huku kwetu ufanye utafiti,

Ni kwanini wananiita SMILLING KILLER?
Na huyu dada anayefanya usafi kwanini wanamwita CHAWOTE?
Na kuna draiva mmoja hapa wanamwita DESTROYER... (Huyu inasemekana ana miguu mitatu ila bahati mbaya mmoja una kilema)
Kuna mwingine anaitwa SOPARE (Huyu ana imani yake kuwa K. iko nyumbani kwahiyo akitoka nje hana shida ya K bali tiGO)

Babu, hilo jina lako ni stahiki kabisa. Tangu nilipokuona pale Zero Pub na hilo Lisura lako, daaaaah! Aiseeee!
Yaani unaweza kuua mtu huku unatabasamu kama la mkwe.re. Hufai kabisa aiseeee!
CHAWOTE mmmmh . . . . . umemsoma tabia yake ilivyo??
Huyo SOPARE ni mwanamke???
 
asante kwa msaada wako wa kunisaidia kuuliza hil swali......atueleze kuanzia pale anapoenda toilet anatoa kufuli,ananyanyua mguuu.....na huo muda wa kati ya dk 15-30,aaahCPU!!!!!

BabaJ na Dinnah
Mi sijawahi kumpiga chabo mtu yeyote hata siku moja, na siwezi kufanya hivyo. Roho yangu hainiruhusu.
Ila mambo yote hayo anasimulia huyo jamaa anaefanya mchezo na huyo mdada
 
Babu, hilo jina lako ni stahiki kabisa. Tangu nilipokuona pale Zero Pub na hilo Lisura lako, daaaaah! Aiseeee!
Yaani unaweza kuua mtu huku unatabasamu kama la ******. Hufai kabisa aiseeee!
CHAWOTE mmmmh . . . . . umemsoma tabia yake ilivyo??
Huyo SOPARE ni mwanamke???
SOPARE ni janaume bana...amenunua na daladala lake kaliandika SOPARE.....afu anatamba ukilipanda tu ujue kashakupiga SOPARE lol
 
SOPARE ni janaume bana...amenunua na daladala lake kaliandika SOPARE.....afu anatamba ukilipanda tu ujue kashakupiga SOPARE lol

Hivi hiyo **** kwenye quote yangu nani kaweka??
Kwahiyo SOPARE anapiga hadi wanaume, akiwemo baba ake na mama ake?
 
Hivi hiyo **** kwenye quote yangu nani kaweka??
Kwahiyo SOPARE anapiga hadi wanaume, akiwemo baba ake na mama ake?
Hahhhaaaa... watu wengine wamepinda vibaya.... kuda dogo mmoja aliajiriwa... akasikia habari za sopare. akawa anamuogopa vibaya. Sopare akajua dogo anamuogopa. Siku moja Sopare akamfuata Dogo akampa Salary slip yake na mshahara wake wote........ akamwambia "chukua tu dogo, nimeamua kukuzawadia".... Dogo akapaniki, akamtandika ngumi kadhaa, na ukawa mwisho wake wa ajira...hatukumwona tena Dogo wa watu
 
Ili aje kuomba SOPARE baadae???
Hata mi namchapa makofi mpaka basi . . .
Lakin ingekuwa sasa hivi ndo ananipa, napokea vizuri . . . .
 
Ili aje kuomba SOPARE baadae???
Hata mi namchapa makofi mpaka basi . . .
Lakin ingekuwa sasa hivi ndo ananipa, napokea vizuri . . . .
Hahahaha...ukipokea ujue kampuni nzima itakuita KIGODORO.... wote aliowapitia SOPARE wanaitwa Vigodoro.... kwahiyo watu wakikuona umechukua hela hata kama hujatoa sopare watu wataamini umeshapigwa sopare.....

Jamaa ana kizizi, akikutaka hakukosi......!
 
Hahahaha...ukipokea ujue kampuni nzima itakuita KIGODORO.... wote aliowapitia SOPARE wanaitwa Vigodoro.... kwahiyo watu wakikuona umechukua hela hata kama hujatoa sopare watu wataamini umeshapigwa sopare.....Jamaa ana kizizi, akikutaka hakukosi......!
una uhakika akikutaka hatokukosa????
 
duu,hii thread imenikumbusha bosi wangu mmoja tulikuwa tunamwita Amijei bila yeye kufahamu, yaani lilimkaa kama ndio jina lake halisi kwa sisi tuliokuwa chini yake,kasheshe ilitokea siku moja alihamia jamaa ofisini kwetu,katika stori naye akalinasa hilo jina, alivyoingia tu bosi ofisini jamaa alimuwahi na kumsalimia..shikamoo braza Amijei...yaani tuliokuwepo tulitamani kuingia kwenye droo
 
Back
Top Bottom