Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

Mungu alishamteua Lowassa muda sanaaaaa...

Nyie mashetani mtasubiriiiii sanaaaaa, na bado sanaaaaaaaaa....

Lowassa, Ukawa mpango wa Mungu...!!!

👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Hata shetani alitumia Vifungu vya biblia takatifu kuhadaa watu wa Mungu...

👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆

Like what you did, SHETANI wanafanya sanaaaaaa.....

You are an AGENT OF SATAN....!!!

Lowassa, anangojea kuapishwa tu...!!!

Mashetani mrudi kuzimu, hakuna jinsi... mkae ktk moto wa milele.. nyambaf nyie
Duh! Kazi ipo!
 
GT habari za asubuhi.

Kampeni za mwaka huu viongozi wa dini ya KIKRISTO wameongoza kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi kwa kuonesha bayana yule wamtakaye.

Hili linanikumbusha habari ya kuchaguliwa kwa mfalme Daudi kuwa mfalme wa Israel. Mambo yafuatayo yalijitokeza:-
1. Mungu alimtuma Nabii Samwel akampake mafuta mfalme wa Israel
2. Mungu alimtuma Nabii Samwel aende katika nyumba ya Yesse na kati ya vijana wake Mungu amemchagua mmoja kuwa mfalme.
3. Nabii Samwel alipowaendea wazee wa Bethlehem walistuka hata kumuliza Je kuna amani??? Na ndipo alipowaambia na tutoe dhabihu.
4. Wakati IBADA ilipoanza ndipo Nabii Samwel alipoanza kuchagua mfalme mpya kwa kufuata matamanio ya moyo wake na sivyo Mungu alivyotaka.
5. Mungu alimuonya Nabii Samwel asiangalie mwonekano mzuri, urefu wa mtu,nk kwani Mungu haangalii hayo.
Mungu haangalii kama mwanadamu anavyoangalia, haijalishi ni Nabii, Mtume, Mwalimu au Askofu.
6. Tabia ya Mungu ni kuangalia NIA YA NDANI (For The Lord does not see as man sees; for man looks at the outward appearance, but The Lord looks at the HEART) statement of fact.
Tafsiri - Mungu haangalii vile mwanadamu anavyoangalia, kwani mwanadamu anaangalia mwonekano wa nje lakini Mungu anaangalia MOYO).
7. Hivyo basi haijalishi nani katabiri nini, nani kahubiri nini? nani kasema nini. Bado mpango wa Mungu na kusudi la Mungu kwa Tanzania litasimama.
8. BWANA HUYABATILISHA MASHAURI YA MATAIFA, HUYATANGUA MAKUSUDI YA WATU, SHAURI LA BWANA LASIMAMA MILELE, MAKUSUDI YA MOYO WAKE VIZAZI NA HATA VIZAZI.
9. Mwisho tunaona Nabii Samwel akiulizia iwapo kuna kijana mwingine wa Mzee Jesse, na ndipo Daudi akachaguliwa kuwa mfalme.
10. Daudi hakuwa amejiandaa hata kidogo kuwa mfalme, bali ulikuwa ni mpango wa Mungu mwenyewe.

HITIMISHO
Viongozi wa dini wameamua waziwazi kutuhamasisha tumchague mtu fulani kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Viongozi hawa wamesahau wajibu wao kutuongoza kuomba ili Mungu amchague yule aliyeupendeza moyo wake.

Kuna viongozi waliolifanya hili wazi na wengine wametumia akili ila unaelewa moyo unakoelekezwa. Haya nimeyaona katika mahubiri ya safari hii ya Mwl MWAKASEGE.

Jambo hili sio geni hata Nabii Samwel alifanya haya haya na mwisho wa siku Mungu aliyakataa mapendekezo ya Nabii Samwel na ndipo Daudi akawa mfalme wa Israel. TENA AKAWA THE BEST LEADER BAADA YA WOTE WALIOMTANGULIA KUBORONGA.

KWA MAANA HIYO BASI, WATU WOTE TUINGIE KWENYE MAOMBI YA TOBA NA TUMUOMBE MUNGU ATUPE RAIS ALIYEUPENDEZA MOYO WAKE. USISAHAU KUSINDIKIZA MAOMBI YAKO NA SADAKA. Viongozi wa dini tuelekezeni kwenye maombi na sio kwenye majina ya watu. Let the will of God prevail.

EE MUNGU TUSAIDIE. EE MUNGU IBARIKI TANZANIA. EE MUNGU TUPE DAUDI.

QUEEN ESTHER

Nnaomba kwanza ni decree interest Mimi ni nimpenda mabadiliko,
Nmehuzuria Mkutano wa Mwl. Mwakasege tangu day 1, Sijaona wala kusikia akimpigia debe mgombea yeyote, labda utuambie na kunukuu kile alichokisema ambacho kinakufanya uhisi alimpigia debe Lowasa,
Lakini kuja hapa jukwaani na Title kubwa kabisa ikitaja jina la mtumishi Mwakasege utakuwa hujamtendea haki hata kidogo, utakuwa na lengo la kumchafua tu,
 
Tafuta kitabu au CD ya Mwalimu MWAKASEGE, ktk mafundisho umuhimu wa kusindikiza maombi na sadaka. Omba pale uwanjani utapewa.

Queen Esther

.
Sasa na wewe ulivyototolea mfano wa Daudi/Samweli ulishindwa nini kutofautisha kati ya uteuzi na uchaguzi?
zamani za Daudi hawakupiga kura bali zetu tunapiga kura.
Hapa Ester sii kujaribu kutuchezesha kwata kisaikolojia?
Usijaribu kufanya hivyo tena p/se mamie!!
.
 
Hata darasani sio watu wote huwa wanamuelewa mwalimu. Some people always see things in parables. Worse come to worse things of the spirit.

Asante kwa ushauri.

Queen Esther

Nimekuwa nafuatilia maandiko yako Queen Esther kwa muda mrefu hasa unapoyaambatanisha na neno la Mungu. Nimeona waraka wako mrefu kwa Josephine ukimtia nguvu kwamba avumilie kwa vile anaonewa na yale ni mapambano ya kiroho.
Sipendi kuingia moja kwa moja kukupinga au kukuunga mkono, lakini niwe wazi tuu kuwa nimepata mashaka na huyo umtumikiaye kuwa ni yupi? Yaani kati ya "Yule ambaye ndiye" au "Yule ambaye ni yeye"
 
Last edited by a moderator:
Napenda mtu anayejibu kwa hoja na sio ushabiki. Je Saul alikuwa chaguo la Mungu???

Queen Esther

Queen Esther, napenda nikukumbushe na kukuhakikishia kuwa hata Saul alikuwa chaguo la MUNGU, maana MUNGU alimtuma Samwel aende kwenye kabila dogo kabisa la Benjamini, akampake mafuta Saul, kwa hiyo pia Saul alipakwa mafuta na MUNGU kupitia nabii Samwel, MUNGU ndiye aliyemchagua Saul kuwa mfalme wa Israel kabla ya Daudi. Kumbuka kwamba, baada ya Saul kuacha maagizo ya MUNGU, ndipo MUNGU alikasirika na akaamua kumpokonya ufalme, na kumtuma tena Samwel aende kumpaka mafuta Daudi ili awe mfalme wa Israel akichukua nafasi ya Saul. Kwa hiyo hata Saul alikuwa chaguo la MUNGU, ila aliacha maagizo ya MUNGU. Pia usidhani kuwa mtu kuwa chaguo la MUNGU ndio tiketi ya kuwa mtakatifu wakati wote, la hasha kama ilivyokuwa kwa Saul kutenda dhambi, hata huyo Daudi alitenda dhambi na MUNGU alimuadhibu.
 
Ukisoma andiko langu vizuri UTAELEWA. Sina sababu ya kumchafua mtumishi wa Mungu Mwl. MWAKASEGE. In fact yeye ndie aliniombea ujazo wa Roho Mtakatifu.

Fanya utafiti wako utagundua majority ya wanaohudhuria mkutano wake wanatoka na majumuisho kuwa Mwl. anaonesha bayana kwamba chaguo ni Mhe. Lowasa. Jitahidi kufanya ka research kidogo utanielewa.

Inawezekana kuna haya yafuatayo:-
1. Mwalimu anatumia lugha ngumu watu hawamuelewi.
2. Inawezekana ana kundi la wasikilizaji wanywa maziwa yeye anawapa MIFUPA.
3. Ni vizuri akatumia lugha nyepesi kwa audience aliyo nayo, naamini Roho Mtakatifu atamsaidia.

Mwisho ni vizuri kuliweka hili wazi ili ijulikane bayana kuwa MWL MWAKASEGE HANA JINA LA MGOMBEA.
Wote wanaopotosha hili kupitia mitandao ya kijamii na maofisini waache mara moja. Sisi yetu ni maombi Tanzania impate Daudi.

Asante kwa ushauri.

Queen Esther

Nnaomba kwanza ni decree interest Mimi ni nimpenda mabadiliko,
Nmehuzuria Mkutano wa Mwl. Mwakasege tangu day 1, Sijaona wala kusikia akimpigia debe mgombea yeyote, labda utuambie na kunukuu kile alichokisema ambacho kinakufanya uhisi alimpigia debe Lowasa,
Lakini kuja hapa jukwaani na Title kubwa kabisa ikitaja jina la mtumishi Mwakasege utakuwa hujamtendea haki hata kidogo, utakuwa na lengo la kumchafua tu,
 
Ommy Mkomwa
,
Asante sana kwa mchango wako.

Kabla ya mistari uliyonukuu naomba nikukumbushe kuwa Mungu alimkataa Sauli. Tena aliwaonya wana wa Israel kwamba huyu mtu atatembea mpaka na wake zenu. Wao wakasema potelea mbali. Kumbuka Nabii Samwel alipomlilia Mungu kuwa watu hawa wamekataa maagizo ya Mungu; Mungu akamwambia hawajakukataa wewe bali wamenikataa mimi.

Mambo halipokuwa mabaya wakarudi kumlilia Mungu. Mungu ha kumchagua Saul soma hiyo habari kuanzia mwanzo UTAELEWA.

Asante kwa mchango mzuri.

Queen Esther

Queen Esther, napenda nikukumbushe na kukuhakikishia kuwa hata Saul alikuwa chaguo la MUNGU, maana MUNGU alimtuma Samwel aende kwenye kabila dogo kabisa la Benjamini, akampake mafuta Saul, kwa hiyo pia Saul alipakwa mafuta na MUNGU kupitia nabii Samwel, MUNGU ndiye aliyemchagua Saul kuwa mfalme wa Israel kabla ya Daudi. Kumbuka kwamba, baada ya Saul kuacha maagizo ya MUNGU, ndipo MUNGU alikasirika na akaamua kumpokonya ufalme, na kumtuma tena Samwel aende kumpaka mafuta Daudi ili awe mfalme wa Israel akichukua nafasi ya Saul. Kwa hiyo hata Saul alikuwa chaguo la MUNGU, ila aliacha maagizo ya MUNGU. Pia usidhani kuwa mtu kuwa chaguo la MUNGU ndio tiketi ya kuwa mtakatifu wakati wote, la hasha kama ilivyokuwa kwa Saul kutenda dhambi, hata huyo Daudi alitenda dhambi na MUNGU alimuadhibu.
 
GT habari za asubuhi.

Kampeni za mwaka huu viongozi wa dini ya KIKRISTO wameongoza kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi kwa kuonesha bayana yule wamtakaye.

Hili linanikumbusha habari ya kuchaguliwa kwa mfalme Daudi kuwa mfalme wa Israel. Mambo yafuatayo yalijitokeza:-
1. Mungu alimtuma Nabii Samwel akampake mafuta mfalme wa Israel
2. Mungu alimtuma Nabii Samwel aende katika nyumba ya Yesse na kati ya vijana wake Mungu amemchagua mmoja kuwa mfalme.
3. Nabii Samwel alipowaendea wazee wa Bethlehem walistuka hata kumuliza Je kuna amani??? Na ndipo alipowaambia na tutoe dhabihu.
4. Wakati IBADA ilipoanza ndipo Nabii Samwel alipoanza kuchagua mfalme mpya kwa kufuata matamanio ya moyo wake na sivyo Mungu alivyotaka.
5. Mungu alimuonya Nabii Samwel asiangalie mwonekano mzuri, urefu wa mtu,nk kwani Mungu haangalii hayo.
Mungu haangalii kama mwanadamu anavyoangalia, haijalishi ni Nabii, Mtume, Mwalimu au Askofu.
6. Tabia ya Mungu ni kuangalia NIA YA NDANI (For The Lord does not see as man sees; for man looks at the outward appearance, but The Lord looks at the HEART) statement of fact.
Tafsiri - Mungu haangalii vile mwanadamu anavyoangalia, kwani mwanadamu anaangalia mwonekano wa nje lakini Mungu anaangalia MOYO).
7. Hivyo basi haijalishi nani katabiri nini, nani kahubiri nini? nani kasema nini. Bado mpango wa Mungu na kusudi la Mungu kwa Tanzania litasimama.
8. BWANA HUYABATILISHA MASHAURI YA MATAIFA, HUYATANGUA MAKUSUDI YA WATU, SHAURI LA BWANA LASIMAMA MILELE, MAKUSUDI YA MOYO WAKE VIZAZI NA HATA VIZAZI.
9. Mwisho tunaona Nabii Samwel akiulizia iwapo kuna kijana mwingine wa Mzee Jesse, na ndipo Daudi akachaguliwa kuwa mfalme.
10. Daudi hakuwa amejiandaa hata kidogo kuwa mfalme, bali ulikuwa ni mpango wa Mungu mwenyewe.

HITIMISHO
Viongozi wa dini wameamua waziwazi kutuhamasisha tumchague mtu fulani kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Viongozi hawa wamesahau wajibu wao kutuongoza kuomba ili Mungu amchague yule aliyeupendeza moyo wake.

Kuna viongozi waliolifanya hili wazi na wengine wametumia akili ila unaelewa moyo unakoelekezwa. Haya nimeyaona katika mahubiri ya safari hii ya Mwl MWAKASEGE.

Jambo hili sio geni hata Nabii Samwel alifanya haya haya na mwisho wa siku Mungu aliyakataa mapendekezo ya Nabii Samwel na ndipo Daudi akawa mfalme wa Israel. TENA AKAWA THE BEST LEADER BAADA YA WOTE WALIOMTANGULIA KUBORONGA.

KWA MAANA HIYO BASI, WATU WOTE TUINGIE KWENYE MAOMBI YA TOBA NA TUMUOMBE MUNGU ATUPE RAIS ALIYEUPENDEZA MOYO WAKE. USISAHAU KUSINDIKIZA MAOMBI YAKO NA SADAKA. Viongozi wa dini tuelekezeni kwenye maombi na sio kwenye majina ya watu. Let the will of God prevail.

EE MUNGU TUSAIDIE. EE MUNGU IBARIKI TANZANIA. EE MUNGU TUPE DAUDI.

QUEEN ESTHER

hii sindano inapaswa kuchomwa kwa vijana!!nasubiria jmosi nipate sindano za kutosha kwa ajili ya uchaguzi!
 
Mwal Mwakasege ni mwalimu wa kikristo ambaye ni very credible! ole wake atakayemgusa Mungu atadeal na naye uzuri wa mwalimu ni kamanda mzuri sana wa vita vya rohoni.Hawataona anajadiliana na nao lakin matokeo yataonekana dhahir shair Maana ni hakika Mungu atajibu.

Nimemsikiliza vizur sana mwalimu huyu hajamhamasisha yeyote kupigia kura yeyote hata kidogo yuko neutral kabisaaaa.Yeye anasimamia misingi ya biblia hatoi ya kwake ndiyo maana hujasikia akitaja jina la mgombea yoyote.Kama una ushahidi weka video/audio na sema imerekodiwa lini maana audio/video zake zipo ili tuweze kucompare na utakachokisema.

Ila ni ukweli mtupu kwamba neno la Mungu ni upanga ukatao na hakika umekata wengi na utaendelea kukata wengi na inavyoonekana umekatwa vizuri sana!

Onyesha kinagaubaga ni wapi Mwakasege alipovunja hiyo sheria ya uchaguzi!

Wapo waliozoea kushika fikra/nafsi za wapiga kura, kila ikifika uchaguzi wanaweka utiiisho kwa wapiga kura, mwaka huu kazi wanayo maana ni mwendo wa maombi tu, mwisho wa siku tena kimya kimya lakini matokeo yataonekana! we miaka hamsini chama fulani kinasema kitajenga mitaro ya maji taka DSM 50 years plus walikuwa wapi? ni aibu sana.

Mgombea fulan anawaambia wapiga kura wasiwaadhibu maana kaona akiri tu kuwa wamewakosea sana wananchi na hakika kaona chama kinamfia mikononi mwake.

Ufalme wa Mungu ni pamoja na haki na amani katika Yesu Kristo.Kama hamna haki hakika amani haiwezi kuwepo.
 
Huyu Mwakasege inabidi serikali imuangalie sana kwani kipindi hiki anapita kila mahali anahamasisha waziwazi eti waumini wamchague mgombea Fulani eti kwa madai kwamba ndiye kateuliwa na Mungu. Unajua watu wanawaamini sana viongozi wao wa dini, ndo maana hata askofu kibwetere alipowafundisha waumini wake kujichoma moto ili waende mbinguni walifanya hivo. Huyu Mwakasege na viongozi wengine walioamua kuhubiri siasa badala ya dini naomba serikali iwashughulikie haraka sana
 
Viongozi wa dini waliposema Kikwete ni chaguo la Mungu kuna waliolalamika kuwa dini inaingilia siasa?
 
Usitishie watu na neno la Mungu. Neno la Mungu linajitetea lenyewe. Pia linaangalia nia ya moyo.

Mwl MWAKASEGE sio mtu wa imani potofu amuombee mtu mabaya. Hizo ni imani za naijeria ambazo baadhi yenu mnatembea nazo.

Mwl ni mfuasi kamili wa Kristo Yesu ambaye hata walipomwambia anatoa pepo kwa belzebuul hakuamuru moto ushuke nakuwalamba wahusika. Hata walipomtukana alisema Baba uwasamehe maana hawajui watendalo. Na hakutaka hata mmoja apotee bali wote waifikie toba ya kweli.

We shall know the truth and the truth shall set people free.

Nyie msioelewa mahubiri na kuzunguka huku,na huku ooo!! Mwalimu kahubiri hivi au kasema hivi ndio muache mara moja kupotosha injili.

RAIS ATAPATIKANA KWA MAOMBI, MSITUMIE JINA LA MWL MWAKASEGE VIBAYA KUHALALISHA MNAYOYATAKA.

Mwal Mwakasege ni mwalimu wa kikristo ambaye ni very credible! ole wake atakayemgusa Mungu atadeal na naye uzuri wa mwalimu ni kamanda mzuri sana wa vita vya rohoni.Hawataona anajadiliana na nao lakin matokeo yataonekana dhahir shair Maana ni hakika Mungu atajibu.

Nimemsikiliza vizur sana mwalimu huyu hajamhamasisha yeyote kupigia kura yeyote hata kidogo yuko neutral kabisaaaa.Yeye anasimamia misingi ya biblia hatoi ya kwake ndiyo maana hujasikia akitaja jina la mgombea yoyote.Kama una ushahidi weka video/audio na sema imerekodiwa lini maana audio/video zake zipo ili tuweze kucompare na utakachokisema.

Ila ni ukweli mtupu kwamba neno la Mungu ni upanga ukatao na hakika umekata wengi na utaendelea kukata wengi na inavyoonekana umekatwa vizuri sana!

Onyesha kinagaubaga ni wapi Mwakasege alipovunja hiyo sheria ya uchaguzi!

Wapo waliozoea kushika fikra/nafsi za wapiga kura, kila ikifika uchaguzi wanaweka utiiisho kwa wapiga kura, mwaka huu kazi wanayo maana ni mwendo wa maombi tu, mwisho wa siku tena kimya kimya lakini matokeo yataonekana! we miaka hamsini chama fulani kinasema kitajenga mitaro ya maji taka DSM 50 years plus walikuwa wapi? ni aibu sana.

Mgombea fulan anawaambia wapiga kura wasiwaadhibu maana kaona akiri tu kuwa wamewakosea sana wananchi na hakika kaona chama kinamfia mikononi mwake.

Ufalme wa Mungu ni pamoja na haki na amani katika Yesu Kristo.Kama hamna haki hakika amani haiwezi kuwepo.
 
LOWASA;MUNGU akulinde na awe nawe katika safari hii ya kuwatoa wana wa Mungu utumwani.watanzania wamechoshwa na mafarao.Mungu akulinde baba.
 
Wee Dada acha unafiki,Hao viongozi wa wakristo uliwasikia wapi? wewe ndo msemaji wa jumuiya za kikristo? umefanya utafiti? is it a representative sample unayotumia? Nashindwa kukutofautisha na Dr Mihogo kwa kutoa tuhuma za jumlajumla kwa viongozi wa kiroho wa jumuiya za kikristo.Jumuiya za kikristo ziko organized na zina wasemaji wake,so far hawajatoa mwongozo wa mtu wanayemtaka,wala sio moja ya kazi zao. Omba toba.

Yaan anasikitisha sana huyu dada yaleyale ya Slaa na maaskofu kuchukua rushwa ushahid hana halaf eti anawaambia waandishi wa habari na Watz "tatizo lenu hamfanyi utafiti"

"Kampeni za mwaka huu viongozi wa dini ya KIKRISTO wameongoza kuvunja sheria na taratibu za uchaguzi kwa kuonesha bayana yule wamtakaye"

Yaan sentensi ya hapo juu ambayo kaiandika inamuonyesha jinsi alivyo mnafiki, mzushi, mfitini.Maana hakuna ushahidi wowote angalau hata wa mashaka basi ambao ameweza kuutoa ili athibitishe madai yake.

Tumsamehe bure tu neno limemchoma kisawasawa na ameishia kumsagia meno kwa hasira mwlm Mwakasege! mhhh kazi anayo anajiumiza nafsi yake bure!
 
Shetani alipoharibika mbele za Mungu na kiti chake cha enzi alichoumbwa nacho kiliharibika kwa huo uovu hivyo alitupwa pamoja na kiti chake. Rejea UFUNUO 13:2.
Huwezi leta mabadiliko kwa kiti cha enzi kilicho kwisha kuharibika kwa kumuweka mtu msafi; ataongoza kwa masharti hicho kiti.
 
Back
Top Bottom